Freeman Aikael Mbowe ni mtoto wa baba wa taifa tena ni Kachero mbobezi!Hapa tutakua tunaweka mambo ambayo yalivuma mno baadae tukaja kugundua kumbe ni uzushi mtupu.. kwenye siasa zetu za Tanzania...
Nitaanza na haya...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mjumbe Wa BuzaLissu akirudi Tanzania atakuwa na ulinzi mkali wa FBI,,,uzushi.
Labda FBI ya buza.
7. Kila jengo jipya la ghorofa mjini la Sitti.3. Kila kituo cha mafuta kipya ni cha ridhiwani
4. Kinana anauza pembe za ndovu
5. Kikwete ameiuza kigamboni kwa wamarekani
6. Cuf walishinda chaguzi zote zanzibar
TulishashtakiwaKuna mmoja akatoa uzushi wa kwamba Tanzania tutashtakiwa.
Hii mbona ndio naisikia kwako? Kuwa mtoto wa baba wa taifa, NO. kuwa kachero mbobezi, sitashangaa.Freeman Aikael Mbowe ni mtoto wa baba wa taifa tena ni Kachero mbobezi!
Wewe haukuwa mpenzi wa Mbowe Hotels wakati Freeman akiwa Dj?Hii mbona ndio naisikia kwako? Kuwa mtoto wa baba wa taifa, NO. kuwa kachero mbobezi, sitashangaa.
Magufili:majizi na Mafisadi yamekimbia CCM,Lowassa,Rostam na Sumaye waonekana Ikulu.Lowassa ni fisadi. Wale wale waliosema ni fisadi, ndio akaenda kua mkombozi wao.