Orodha ya maneno yanayopendwa kutumiwa na watu wa JF karibu kila Siku, dakika, wakati

Jingalao
Mmu
Nyaningabu
[emoji23][emoji23] hili jina la Nyaningabu limenikaa sana hata kitaan kama kuna watu ambao siwaelewi elewi au mtu akizingua natamka "wee nyani ngabu nini"[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahaa. Mods hawataki mchezo.

Sasa ban ya nini hapo unajinafasi?

Ujue kuna thread nyingine bila mtu kuwahi siti ya kwanza zinaweza kusahaulika?

Ile kuwahi seat ya kwanza kunaweza kuirudisha juu thread halafu wengine wakachangia zaidi.
Nilimuuliza melo akaniambia ukiandika tena mwendo ni ule ule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…