Aneel munawar
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 4,580
- 8,141
trako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23] hili jina la Nyaningabu limenikaa sana hata kitaan kama kuna watu ambao siwaelewi elewi au mtu akizingua natamka "wee nyani ngabu nini"[emoji23][emoji23][emoji23]Jingalao
Mmu
Nyaningabu
Labile?mtoa mada una mjua Pogba ww?
Bado hujathibitisha.[emoji2][emoji2][emoji2]thibitisha Kama hayupo
Hii ilinipa banSiti ya kwanza.
Hahahaa. Mods hawataki mchezo.Hii ilinipa ban
Nilimuuliza melo akaniambia ukiandika tena mwendo ni ule ule.Hahahaa. Mods hawataki mchezo.
Sasa ban ya nini hapo unajinafasi?
Ujue kuna thread nyingine bila mtu kuwahi siti ya kwanza zinaweza kusahaulika?
Ile kuwahi seat ya kwanza kunaweza kuirudisha juu thread halafu wengine wakachangia zaidi.
Daayum.Nilimuuliza melo akaniambia ukiandika tena mwendo ni ule ule.