Orodha ya maneno yanayopendwa kutumiwa na watu wa JF karibu kila Siku, dakika, wakati

Orodha ya maneno yanayopendwa kutumiwa na watu wa JF karibu kila Siku, dakika, wakati

Ibrahim augustine

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2017
Posts
428
Reaction score
576
Haya maneno hua yanatumiwa na watu wa jamii forums kutokana na uchunguzi wangu ngoja nianze kuyataja haraka bila kupoteza muda.

1. MKUU: hili meno utalisikia kwa baadhi ya watu humu humu mfano:samahani mkuu bei yake ni shillingi ngapi,au mkuu vipi?

2. UZI: hili meno pia linapendwa sana kutumiwa na watu wengi, Uzi maana yake ni mada husika. Mfano, MTU akianzisha Uzi maana yake ameanzisha mada kwa kiingereza tunaita (thread)

3. JF: kifupi cha jamii forums

Haya ni baadhi tu ya maneno taja na wewe ya kwako unayo yafahamu na yanapendwa kutumiwa sana na members wa JF
 
Back
Top Bottom