Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Ningeshangaa kama ungesema "ungenitia" aibu. Maana wewe si wa kunitia walah
BTW nina zawadi yako... ina rangi ya pink.
hahaha hyo zawaidi ya pink ni kama ile ya nandy?[emoji85]
Yani wewe una akili ya kutosha sana... Nimekukubali kama mama wa mzee wetu wa Chattle...
mfyuuuu
Hapo umenisonya au umenibusu?
busu
we unataka ipi kati ya hzo mbili
yoyote utakayonichagulia...
ya pili bas[emoji23] [emoji23]
Babu nimekuvulia viatu kabisa maana kofia nishachoka kukuvuliaWell noted...