Orodha ya mastaa wa JamiiForums ambao wakipost ni hatari kwa likes na kuchangiwa hoja zao

Ningeshangaa kama ungesema "ungenitia" aibu. Maana wewe si wa kunitia walah

BTW nina zawadi yako... ina rangi ya pink.
hahaha hyo zawaidi ya pink ni kama ile ya nandy?[emoji85]
Yani wewe una akili ya kutosha sana... Nimekukubali kama mama wa mzee wetu wa Chattle...
Hapo umenisonya au umenibusu?
we unataka ipi kati ya hzo mbili
yoyote utakayonichagulia...
ya pili bas[emoji23] [emoji23]
Well noted...
Babu nimekuvulia viatu kabisa maana kofia nishachoka kukuvulia
 
Labda kafa
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Naomba uwe unaniulizia watu wengine wa maana kwangu hapa duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…