Orodha ya mastaa wa JamiiForums ambao wakipost ni hatari kwa likes na kuchangiwa hoja zao

Sijaona jina la Ontario hapo
 
Hahaha
Huwa nawashangaa watu wanao jifanya wako sirias hapa bongo. Wangekuwa siriaz Magufuli angewechezea kama anavo taka hivi?[emoji23]
Bora tujikite kwenye burudani tuu maana mengine yasha tushinda
ahhahahahha nimithi tumajibu twaaaako!
TUNAKERAAAAAA KWA ANAYEJIBIWA!
TUNACHEKESHAAAA KWA TUNAOSOMA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…