Orodha ya matajiri 2021

Orodha ya matajiri 2021

Kasomi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
11,030
Reaction score
20,391
Orodha ya watu matajiri zaidi Afrika mwaka 2021:

1. Aliko Dangote ana thamani ya $12.1b

2. Nassef Sawiris ana thamani ya $8.5b

3. Nicky Openheimer thamani ya $8b

4. Johann Rupert ana thaman ya $7.2b

5. Mike Adenuga ana thamani ya $6.7b

6. Abdulsamad Rabiu ana thamani ya $ 5.5b

7. Issad Rebrad ana thamani ya $4.8b

8. Naguib Sawiris ana thamani ya $3.2b

9. Patrice Motsepe ana thamani ya $ 3b

10. Koos Bekker ana thamani ya $2.8b

Wakati Mohamed dewj wa Tanzania yeye akiwa nafasi ya 13
 
Utaifa wao na ni matajiri wa KITAIFA,KIBARA au KIDUNIA?
 
Yule mdaiwa sugu wa 20bilioni pale msimbazi tupo nafasi ya ngapi?
 
Mkuu umeandika uzi kirahisi sana...Hata nchi hujaweka,hujasema ni top 10 au la ,hujaweka source ya list yako and so much more
 
Mkuu umeandika uzi kirahisi sana...Hata nchi hujaweka,hujawesema ni top 10 au la ,hujaweka source ya list yako and so much more
Narudia kuongezea nyama nyama
 
Mkuu umeandika uzi kirahisi sana...Hata nchi hujaweka,hujawesema ni top 10 au la ,hujaweka source ya list yako and so much more

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Mtoa maada hajielewi , sjui ni mshamba wa wap , na hata hvyo unapotoa taarifa za namna hii huwa wanaweka na wa Taifa lako hata kama yupo mwishoni ....
 
Mtoa maada hajielewi , sjui ni mshamba wa wap , na hata hvyo unapotoa taarifa za namna hii huwa wanaweka na wa Taifa lako hata kama yupo mwishoni ....
Sawa mkuu kwa vile na mimi sijielewi kama wewe basi namuweka na mtu ya nyumbani
 
Bakhresa mjanja sana yule mzee anawapoteza watu maboya kweli
 
Back
Top Bottom