Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu unaongea tu wewe. DAngote ana utajiri wa 11.3 bilioni sasa anamwajiri vipi mbs wewe?Utajiri wa billion 25 $ ukiwafitilia hao matajiri utagundua ni kiwanda kimoja tu cha dangote ambacho kipo Nigeria ndo kina thaman hiyo kwahiyo kama huyo mwana mfalme ana utajiri huo bas dangote anaweza kumwajiri hata kuosha vyombo pale lagos
Ni ukichaa,yaani humu nyuzi za kuwananga waislam ni nyingi kuliko kawaida na kila siku,hata kwa mambo ya kipuuziIla dini hizi asee.
Dini ni Dini tu mkuu. Wote wapo hivyo.Ni ukichaa,yaani humu nyuzi za kuwanga waislam ni nyingi kuliko kawaida na kila siku,hata kwa mambo ya kipuuzi
Huo ndio utajiri wake na mali zake zote. Hakuna mtu ambaye wakisema ni tajiri anakuwa na cash. Wanadhaminisha mali zake ikiwemo shares ndio maana utajiri wao unapanda kushuka tu kwa sababu ya thamani za shares. Wewe najua kisa umesikia mfano kiwanda chake cha refinery cha lekki kina thamani ya bilioni 19 basi unadhani ana zaidi ya utajiri huo. Kile kiwanda yeye ni major shareholder akimiliki kama asilimia 30% nyingine ni wawekezaji.Wewe unazungumzia hela alizonazo mda huu siyo utajiri
Tofautisha hela na utajiri kaka
Utajiri ni mali
Mfano Nan ana pesa na hapigi keleleSidhani kama wanaweka utajiri wa familia kama familia bali wa mtu mmoja mmoja ambapo mfano falme ya kifalme ya saudi arabia ina utajiri wa 1.4 tillioni hiyo ni familia. Wakati MBS utajiri wake unakadiriwa kuwa ni bilioni 25 na mtawala wa duabi anakadiriwa kuwa na utajiri wa 18 bilioni. Wakati bwana elon yeye kama yeye ana 354 bilioni. Hivyo utaona ukichambua familia za kiarabu mtu mmoja mmoja basi hakuna anayemkaribia.
Ila pia kumbuka kuna watu wana pesa ila hawapigi kelele.
Dah mwaka unaanza mpaka unaisha bila bila mtumishWewe namba ngapi mkuu?
GSM na Mo hawamo?Amani iwe nanyi ndugu zangu
Mimi huwa najua waarabu ndo watu matajiri zaidi duniani nikiamini Mansour wa Man City atakuwa hata tajiri wa tatu au nne duniani kumbe hata kwenye matajiri mia mbili duniani hayupo nimeshangaa sana.
Lakini nilichokutana nacho huko Forbes sijaamini macho yangu kama mashabiki ya Yanga ile jana
Sijaona Mwisilam hata mmoja , Mwisilam nimeenda kumukuta namba 144 naye ni mweusi mnaigeria Aliko Dangote
Naona wapagani tu wenye majina ya kizungu, naona Wahindi tu wenye majina ya kihindi, naona wacomunist tu wenye majina ya kikorea na kichina
Wakristo na waislam tumefell wapi? Waarabu na mafuta yao wameangukia wapi?
Kumbe tena Elon Musk siyo namba moja
Duh! Nawasilisha