Orodha ya matajiri duniani imenichanganya. Elon siyo namba moja, sijaona mwarabu wa mafuta hata mmoja

Kuna clip moja ya MBS na Trump walikua wananegotiate deal, ikafika hatua trump akataja mpunga mrefu kinoma halafu akamwambia MBS 'That's peanuts to u' hapo ndo uelewe UAE kuna hela chafu sana ila utaratibu wao wa kuzimiliki ndio unafanya wasikae kwenye list moja na hawa jamaa.

Utajiri wa Musk na wengine ulotaja hapo mostly upo tied kwenye stocks ndio maana utasikia unapanda na kushuka. Utajiri wa waarabu ni cash, they do cash hawana mambo ya virtual money. Ndio mana hela zao zina thamani kubwa sana ili noti moja ibebe value ya kutosha, sio huku hadi buku eti ina noti.
Bongo tumechemka mtumish
 
Mfano Nan ana pesa na hapigi kelele

Pesa hupiga kelele yenyewe ndugu

Dah mwaka unaanza mpaka unaisha bila bila mtumish
Kuna documentary fulani wanawahoji forbes wenyewe iko youtube. wanasema wao wanatumia sources zao na mtu kuwapatia taarifa zake pia. Ila wanakiri kutakuwa kuna watu wana pesa lakini hawasema hawataki kuleta attention kwa sababu labda ya masuala ya kodi au hawataki tu kuwa maarufu.
Hivyo, kitendo cha mimi kuwafahamu watu hao basi si siri tena.
 
Ndug
Ni ukichaa,yaani humu nyuzi za kuwananga waislam ni nyingi kuliko kawaida na kila siku,hata kwa mambo ya kipuuzi
Ndugu yangu ni wapi mimi nimenanga uislam mbona unachuki kias hicho kaka au kwakuwa nimetaja waarabu

Mbona hapo juu nimewataja wakristo na waislam mbona sijaona mkristo akilalamika hapa
 
Mada zenu za kidini tumezichoka,habari za sasa ni kuhusu Yanga tu
 
Ingia Forbes ndugu au google
Ni google nini sasa mkuu, mimi nimeomba link inayoendana na mada yako. Mimi siwezi ku Google kwa sababu sijui wewe uli google nini ukapata hizo data zilizopelekea wewe kuanzisha hiyo mada.
 
Kuna clip moja ya MBS na Trump walikua wananegotiate deal, ikafika hatua trump akataja mpunga mrefu kinoma halafu akamwambia MBS 'That's peanuts to u' hapo ndo uelewe UAE kuna hela chafu sana ila utaratibu wao wa kuzimiliki ndio unafanya wasikae kwenye list moja na hawa jamaa.

Utajiri wa Musk na wengine ulotaja hapo mostly upo tied kwenye stocks ndio maana utasikia unapanda na kushuka. Utajiri wa waarabu ni cash, they do cash hawana mambo ya virtual money. Ndio mana hela zao zina thamani kubwa sana ili noti moja ibebe value ya kutosha, sio huku hadi buku eti ina noti.
MBS ni crown prince wa Saudi Arabia sio UAE
 
Amani iwe nanyi ndugu zangu

Mimi huwa najua waarabu ndo watu matajiri zaidi duniani nikiamini Mansour wa Man City atakuwa hata tajiri wa tatu au nne duniani kumbe hata kwenye matajiri mia mbili duniani hayupo nimeshangaa sana.

Lakini nilichokutana nacho huko Forbes sijaamini macho yangu kama mashabiki ya Yanga ile jana

Sijaona Mwisilam hata mmoja , Mwisilam nimeenda kumukuta namba 144 naye ni mweusi mnaigeria Aliko Dangote

Naona wapagani tu wenye majina ya kizungu, naona Wahindi tu wenye majina ya kihindi, naona wacomunist tu wenye majina ya kikorea na kichina

Wakristo na waislam tumefell wapi? Waarabu na mafuta yao wameangukia wapi?

Kumbe tena Elon Musk siyo namba moja

Duh! Nawasilisha
Ama wewe una akili za kuku kweli, kudonoa mbele ya upeo wa mdomo wako.
Umeacha list ya Tanzania unakimbilia ya Dunia Ili uone waarabu wangapi wapo. Waarabu pesa zao ziko kwenye sovereign wealth funds, wao ni uwekezaji kama DP world walivyo Fanya.
Hawana utapeli wa ku manipulate shares na kurusha bei ya share zao ambazo baadae zinatumbuka (Buble bust ) na kuwahasirisha wawekezaji wadogo.
 
Waarabu wakiguswa mnakuwaga wakali sana ndugu katika Iman
 
Kwanza achuane na Bakhresa hapa hapa kabla hajaenda nje.
Akili za njaa na chuki hafiki popote.
Lakini mtaendelea mpaka lini kujivunia waarabu huku nyie waislam weusi mkiendelea kuwa masikin na makapuku wakutupwa
 
Wewe unazungumzia hela alizonazo mda huu siyo utajiri

Tofautisha hela na utajiri kaka

Utajiri ni mali
Ukisema tuangalie mali sasa utasema DRC ni tajiri kuliko Jaoan kwa sababu wanamiliki resources nyingi
Hapa kumjua nani tajiri tunaangalia pesa kwanza.
 
Amani iwe nanyi ndugu zangu

Mimi huwa najua waarabu ndo watu matajiri zaidi duniani nikiamini Mansour wa Man City atakuwa hata tajiri wa tatu au nne duniani kumbe hata kwenye matajiri mia mbili duniani hayupo nimeshangaa sana.

Lakini nilichokutana nacho huko Forbes sijaamini macho yangu kama mashabiki ya Yanga ile jana

Sijaona Mwisilam hata mmoja , Mwisilam nimeenda kumukuta namba 144 naye ni mweusi mnaigeria Aliko Dangote

Naona wapagani tu wenye majina ya kizungu, naona Wahindi tu wenye majina ya kihindi, naona wacomunist tu wenye majina ya kikorea na kichina

Wakristo na waislam tumefell wapi? Waarabu na mafuta yao wameangukia wapi?

Kumbe tena Elon Musk siyo namba moja

Duh! Nawasilisha
Warabu wanasema siri ya mwanaume haitoki ndani. Warabu sio malumbukeni kutoa siri zao haswa kuhusu mali na wake zao. Wafrica sio wote wana akili kama zako wako wengine wanapesa lakini hawajisifu. Nipe faida ya kujionyesha duniani una mabillion?
 
Leta faida ya wewe kuwa masikini
 
Back
Top Bottom