Heavy Heritage
Senior Member
- Feb 18, 2025
- 130
- 80
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkapa alifukuza wafanyakazi 300,000 wote hao mbona wengi hasa kwa kipindi kile?1. Redanduncy watumishi wa umma 300,000 wafukuzwa kazi ya utumishi wa umma
Daaa watu waliongoza nchi bwana rada yenyewe sijui kama inafanya kazi now😂😂😂Rada, mwanamama wa UK akajiudhuru baada ya kubainika wametuuzia rada isiyo na viwango kwa pesa ndefu. Sisi tukiwashangalia viongozi wetu kwa ushujaa wa kununua rada
Gharama Rada kwa ajili ya matumizi ya kijeshi kwa kiasi cha £ milioni 30Rada, mwanamama wa UK akajiudhuru baada ya kubainika wametuuzia rada isiyo na viwango kwa pesa ndefu. Sisi tukiwashangalia viongozi wetu kwa ushujaa wa kununua rada