Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo sahihi usisahau Geneva😂😂😂Aliexcute SAPs, Structural Adjustment Programs tuendane na matakwa ya IMF na WB
Tasisi za Awamu hii ya 6Hizi ni baadhi tu ya Taasisi zilizoanzishwa na Rais Mkapa;
1. TAA
2. TCRA
3. PPRA
4. BRELA
5. EWURA
6. TACAIDS
7. SUMATRA
8. TANROADS
9. TAKUKURU
10. TRA.
11. MKUKUTA.
12.MKURABITA.
Naona mko busy na kujaribu kumchafua Mr. Clean Ben MkapaTiririka hapa tuyakumbuke maana ni muda wa watu kiongoza na watatuongoza milele
Ungependeza ungekuwa utawala wa awamu ya kwanza - Sikuwepo (Nilisimuliwa)
Ungependeza ungekuwa utawala wa awamu ya Pili - Nilikuwa Mdogo (Nikasimuliwa)
Ukweli na Uwazi!
Masikini hivi wapo Tanzania😂😂😂😂😂😂Waliaminishwa ni "Nchi Tajiri" hadi leo hakuna Masikini Tanzania😂😂😂Wanafanana na karibu wanawazidi wamarekaniKipindi hicho mkapa alitamka "MTAJI WA MASKINI NI NGUVU ZAKE MWENYEWE""
Akanukuliwa vibaya na
Majambazi yakaongeza kuteka magari na kuwaibia raia mali ZAO
Baada ya hapo raia wali imbishwa mtaji wa MASKINI NI NGUVU ZAKE MWENYEWE BY TOT SOUND....BANZA STONE.
Na ada yenyewe ilikuwa shilingi elfumbili tu lakini watu walikosa Hadi wanarudishwa nyumbaniHata mie makumbuka olikuwa nikirudi nyumbani nasema "Baba wamenirudisha Ada" siku hizi "Baba Nyumba yetu inanuka mkojo wa Sungura" - "Baba Nyumba yetu inakukia Dampo" kweli ada nomaaaa😂😂😂😂😂😂😂