Orodha ya matukio, vimbwaga na maamuzi yalioyotolewa wakati wa awamu ya Tatu ya Benjamini Mkapa

Heavy Heritage

Senior Member
Joined
Feb 18, 2025
Posts
130
Reaction score
80
Tiririka hapa tuyakumbuke maana ni muda wa watu kiongoza na watatuongoza milele

Ungependeza ungekuwa utawala wa awamu ya kwanza - Sikuwepo (Nilisimuliwa)


Ungependeza ungekuwa utawala wa awamu ya Pili - Nilikuwa Mdogo (Nikasimuliwa)


Ukweli na Uwazi!​

 
4. Aliongoza mazungumzo ya upatanishi nchini Burundi kati ya Serikali ya nchi hiyo na upinzani mwaka 2016 yaliyokuwa na nia ya kumaliza mzozo wa kisiasa wa muda mrefu.
 
Alishiriki upatanishi wa mazungumzo ya amani ya DRC, Zimbabwe, Sudani Kusini na Burundi. Hayati Mkapa alifanya jitihada za kuhakikisha kuwa Afrika inakuwa sehemu nzuri ya kuishi.
 
Rada, mwanamama wa UK akajiudhuru baada ya kubainika wametuuzia rada isiyo na viwango kwa pesa ndefu. Sisi tukiwashangalia viongozi wetu kwa ushujaa wa kununua rada
Daaa watu waliongoza nchi bwana rada yenyewe sijui kama inafanya kazi now๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Alitoa mbinu ya kuisafisha Tanzania kimataifa baada ya machafuko yaliyotokea Zanzibar mwaka 2001 la kuuawa waandamanaji 22 na polisi kisiwani Pemba waliokuwa wakipinga matokeo ya uchaguzi wa Zanzibar wa mwaka 2000
 
Aliungwa mkono Benki ya Dunia na Shirika la Fedha Duniani (IMF) kwa kufanya mageuzi ya sera za kiuchumi kwa kubana matumizi, kunyanyua sekta binafsi, kuvutia wawekezaji wa nje na ubinafsishaji wa mashirika ya umma๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Yakiwemo:

Benki Ya NMB​


Mgodi wa Makaa ya Mawe wa Kiwira
 
Kuanzisha dhana ya Dira

Dira ya Taifa ya Maendeleo ya kufikia uchumi wa kati ifakapo mwaka 2025 na pato la mtanzania kufikia dola 3000
 
Upo Nao huko wakikuambia huna maana usilie๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Kitabu chao hakijakamilika check maneno matamuuuuu kabisa toka kwa wenye mamlaka

 
Rada, mwanamama wa UK akajiudhuru baada ya kubainika wametuuzia rada isiyo na viwango kwa pesa ndefu. Sisi tukiwashangalia viongozi wetu kwa ushujaa wa kununua rada
Gharama Rada kwa ajili ya matumizi ya kijeshi kwa kiasi cha ยฃ milioni 30
 
Alipitisha na kuamuru wa Mkapa ujengwe Dar Es Salaam... Uwanja huo ulianza kujengwa mwaka 2005 karibu kabisa na uwanja wa uhuru, uwanja wa zamani wa taifa wa Tanzania, ulifunguliwa rasmi mwaka 2007. Kwa Bilion 64

 
Aliongoza timu iliyosaidia Watumishi wa Umma na Tanzania kufutiwa madeni yake ya nje..
 
Aliongoza Majadiliano iliyosaidia Watumishi wa Umma na Tanzania kufutiwa madeni yake ya nje..๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Kutoka 143.7 mwaka 1995 hadi asilimia 60.7 mwaka 2005
 
Taasisi zilizoanzishwa chini ya uongozi wa Mkapa

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA),

Taasisi ya Kupambana na Rushwa Tanzania (PCCB)

Mfuko wa Maendeleo ya Jamii Tanzania (TASAF)

Mkakati wa Kukuza Uchumi na Kupunguza Umaskini Tanzania (MKURABITA)

Tume ya Kudhibiti UKIMWI (TACAIDS)
 
โ€œTatizo moja kubwa la vyombo vya habari vya nchi za Afrika hasa hasa Kusini mwa Jangwa la Sahara ni kwamba habari nyingi zinazopewa kipaumbele ni zile za kisiasa na zinazohusu nani ni nani na kafanya nini.โ€

โ€œKuna upungufu mkubwa wa habari za kiuchumi na maendeleo zilizofanyiwa utafiti wa kina na zinazochochea maendeleo. Kuna habari kidogo sana za utetezi wa kimaendeleo na kujipanga ili tupige hatua.โ€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ