Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Acha ubishi, ni 2002Hapana ni 2001
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha ubishi, ni 2002Hapana ni 2001
Ni suala dogo sana iloMwaka 2015 Lowasa kuhamia Chadema ilitikisa sana
Haha yaweke sawaMkuu britanicca
- Mauaji ya Raisi Karume yako wapi ???
- Ule Uhaini wa wakina Hans Poppe na Maganga uko wapi ???
- Tanzania kutengwa na Umoja wa Afrika liko wapi ???
- Mauaji ya Dr Mondlane yako wapi ???
- Mauaji ya Jenerali Kombe yako wapi ???
- Njaa ya fungafunga na lile songombingo la ukame viko wapi ??? (Unakumbuka unga wa Yanga ??)
- Ule uvamizi wa Malawi kipindi cha vita ya Kagera unuacha wapi ???
- Ule Mkwarwa bubu wa Kenya kutaka kutwangana kijeshi na Tanzania baada ya vita ya Kagera uko wapi ???
- Ule Mkwara bubu wa Kagame kule mpakani kipindi cha Raisi Kikwete uko wapi ???
- Kuzama kwa MV Bukoba kuko wapi ???
2015 Lowassa anaahidi kumleta daudi Balali toka mbinguni.Mwaka 2015 Lowasa kuhamia Chadema ilitikisa sana
Ni Pius Lugangira a.k.a Uncle Thom acha kuchafua majina ya watu.Jaribio la kupindua serikali lililomuhusisha Lugakingira,Hatty Maghee,na wenzao.Mwaka sina uhakika sana ila no miaka ya themanini.
Ongezea na ajali ya MV Bukoba.
Alikuwa ameandaa walaka wa kuitaka mahakama ya kikatiba kama ilivyo kwenye Hati ya Muungano na Sheria zake ,kuhusu tafsiri na muundo wa Muungano.1983 - hakuna tukio hilo ,
Jumbe alijiuzulu uraisi mwaka 1984 tena sijasikia kuwa alitaka kuiuza Zanzibar Uarabuni , Mimi nilikuwepo , Kosa lake alikuja kuamka na kutaka kuitoa Zanzibar kutoka kwenye uvamizi wa mkoloni Tanganyika ili iwe huru
Allah atamlipa Sizonje na Bashite kadri wanavyolihujumu taifa.2015 watanzania kupokonywa mtu waliyemchagua.
2017 jambo baya kuliko yoote la kumpiga risasi mtetezi wa watanzania Tundu lissu
Niyaweke mara mbili sasa ???Haha yaweke sawa
Kuna matukio kama ya mukono kuchoma bank, na mengine sinayaweka , hata kuuawa kwa karume sina accuracy ya mwaka husika,
UDSM ilianza 1961,muda mchache kabla ya Uhuru1962 ndo Udsm ilianza Lumumba na faculty of law
Kuhusu kusema kuwa hayo ni masuala yasofutika vichwani mwa watanzania, Inategemea sana rika la hao watanzania, maana sehemu kubwa ya watanzania sio tu hawakuwako miaka hiyo ya matukio mengi,bbali pia hawaelewi uzito wake, na baadhi hayafundishwi mashuleni katika historiaHaya ni matukio muhim yaliyotokea na kutikisa nchi
1962: Mwalimu Nyerere kujiuzuru uwaziri mkuu wakati ameijenga Tanganyika kwa heshima, wengi walishangaa kumbe alikuwa na malengo yake,
1962: kilianzishwa chuo kikuu cha kwanza UDSM pale Lumumba kabla ya kuhamia kilipo sasa hivi,
1963: Jaribio la kwanza la Kumpindua mwalimu Nyerere , kwa bahati nzuri halikufanikiwa, na Nyerere akaomba usaidizi wa waingereza,
1964 : Mapinduzi makubwa ya mfumo ndani ya jeshi , mwalimu karibia alifukuza jeshi zima na recruitment ikaanza upya chini ya jeshi la waingereza,
1964 : Kubadiri jina la nchi kutoka Tanganyika na kuwa Tanzania kutokana na muungano na Zanzibar
1965 : Uanzishwaji wa Benki kuu ya Tanzania, baada ya EACB kuvunjwa,
1967: Azimio la arusha lilitikisa nchi na kuja na mpango wa utaifishaji,
1971: Tanzania iliingia mgogoro kwa mara ya kwanza na Uganda, lakin mwalimu Nyerere akajiandaa kwenda urusi kuomba silaha baada ya kugundua jamaa aliyekuja ni upuuzi, Amini mwaka huo alitikisa kiberiti kwanza kwa kuichapa kyaka,
1972 : Waziri Fundikira alitandikwa viboko na kufungwa jela kwa kosa la rushwa,
1977: Kujiondoa katika EAC
1978: Vita na Uganda ambayo iliacha matatizo makubwa sana,
1980: Mwalimu Nyerere aliatoa pendekezo la kung'atuka , watanzania wa karibu yake wakakataa na kusema mwalimu itaonekana unayakimbia matatizo haya, akahairisha,
1982: Ndege ya Air Tanzania ilitekwa na kupelekwa uingereza, na vijana machachari wa Tanzania,
1983: Kuwekwa kizuizini kwa aliyekuwa rais wa Zanzibar na makamu wa rais wa JMT kwa kipindi hicho Aboud Jumbe, kwa kutaka kuiuza Zanzibar uarabuni,
1984: Ajari ya gari na kumuondoa Moringe Sokoine, waziri mkuu wa Tanzania ambaye alitisha sana,
1985: Mwalimu Nyerere aling'atuka na kumuachia mzee Mwinyi,
1992: Uanzishwaji wa Vyama vingi vya siasa,
1994 : Kujiuzuru kwa Bwana Augustine Lyatonga Mrema, ilitikisa sana, na kuleta tahamaki kwa nchi,
1995: Uchaguzi wa Vyama vingi kwa mara ya kwanza Tanzania,
1996: Ajari ya Mv Bukoba iliua maelf ya watu
1999: Kifo cha mwanzilishi wa Taifa ili Mwalimu Nyerere huko London,
2002 : Ajali ya Treni Dodoma na kuua namia ya watu,
Hayo ndo matukio ambayo so rahisi kufutika vichwani mwa watanzania walio wengi
Ongeza mengine unayojua,
Britannica
Jumbe alilazimishwa kwa sababu alitaka zanzibar ijitoe kwenye muungano. Akafungwa kifungo huru kigamboni hakuna kufanya mkutano wala kuzungumza kitu chochote kwenye kadamnasi. Huduma zote zinamkuta ndani hata akiugua madoctor wanamtibia humohumo ndani mwake. Hadi anakufa kwa vijana wasasaivi hakuna aliyemuona Jumbe.1983 - hakuna tukio hilo ,
Jumbe alijiuzulu uraisi mwaka 1984 tena sijasikia kuwa alitaka kuiuza Zanzibar Uarabuni , Mimi nilikuwepo , Kosa lake alikuja kuamka na kutaka kuitoa Zanzibar kutoka kwenye uvamizi wa mkoloni Tanganyika ili iwe huru