Orodha ya mikopo iliyokopwa awamu ya sita tangu Rais Samia Suluhu aingie madarakani March 19, 2021
Inasemekana deni ni kubwa zaidi ya hizo trillion 91.2. mdau mmoja aliwahi andika hapa for now ni 112. Hii nchi inakazi sana, ukiwa serious sana unaweza jitoa muhanga liwalo na liwe
 
Kinachoniuma Mimi kama mtanganyika ni kuwa aakopa pesa nyingi na hatuoni kazi anayoifanya zaidi ya kupeleka kwao Zanzibar.Na akimaliza muda wake atakimbilia kwao na kutuachia sisi deni tukihangaika nalo.
 
Back
Top Bottom