Orodha ya mishahara ya Marais wa Afrika ni jambo la kujiuliza na kutafakari

mimi nilifikiri wangetajwa hata wale Marais wenye mshahara wa chini kabisa ili tujue uwezo wake na Kodi za mwananchi anazolipwa
 
Gombea tafadhali afu Mimi nitakuwa kuwa mke wa rais
Hapo una hakikisha mtoto wako mmoja yupo hadhina mwingine TISS, Shemeji bank kuu mwingine bandari, mkwe jaji
Had hapo mchezo umekamilika
 
willliam mhando alikua anakunja 40m/m, simuoni katika listi
 
Hivi kwanini huwa mnaona TISS wana hela??
Shida sio Ela Ila ujasusi. Hiv unazania M7 ni mjingaa kumweka mtoto wake kwenye kile cheo jeshini? Kama asinge kuwa hapo angehakikisha anampenyeza ata usalama wa taifa ili kulinda mambo yake. Alaf sahv wanawafanyia maigizo watu
 
Yule raisi anayeendesha baiskeli atakuwa wa mwisho kwa kulipwa pesa ndogo Africa.
 
Hivi kwanini huwa mnaona TISS wana hela??
Hata mimi huwa nawashangaa sana wanaodhani TISS kuna hela za bure bure ama hela ndefu.

Ingawaje mdau hapo juu pengine amemaanisha ukiwa na mtu wa TISS atakuwa anakupenyezea taarifa muhimu kama kuna msala ama vinginevyo.

Pia Jaji ni kumlinda endapo atapelekwa mahakamani kwa ubadhirifu wa mali ya umma.
 
Fanya update hapo, Rais wa visiwa vya Comoro Azzali Athouman anakunja Euro 32,600 per month which is equal to 81,500,000/- Tsh ambayo kwa mwaka ni sawa na 978,000,000/- Tsh, anakaa namba tatu hapo.
 
Wewe Sasa umeelewa nilichomaanisha.
 
Yaani Tanzania tuna gundu.

Kika orodha nzuri htupo kwenye kumi bora

Sijafurahi😔
 
Shida sio Ela Ila ujasusi. Hiv unazania M7 ni mjingaa kumweka mtoto wake kwenye kile cheo jeshini? Kama asinge kuwa hapo angehakikisha anampenyeza ata usalama wa taifa ili kulinda mambo yake. Alaf sahv wanawafanyia maigizo watu
Nimekuelewa
 
Ni hela ndogo sana kulingana na kazi kubwa wanayoifanya kuwaongoza mazumbukuku.
 
Huyo wa million 356
Ina maana KILA siku yeye anakunja 1M.
[emoji28][emoji16]
 
Unakuta anazoingiza nje ya mshahara ni kubwa kuliko mshahara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…