Orodha ya Mizimu iliyoibiwa mkoani Kigoma

Orodha ya Mizimu iliyoibiwa mkoani Kigoma

Hata makanisani na misikitini mnaabudu viumbe wenzenu, kina Mohamad na Emanuel (Yesu) ni mizimu ya kigeni ndo maana haina msaada nanyi si bora kuabudu mizimu yetu.
Mizimu lilishindwa kutusaidia tusichukuliwe utumwani na kuzuia wakoloni.
Ina faida gani Sasa Bora tu iibiwe
 
Tangu hio mizimu ilipoibiwa angalau siku hizi Kigoma Ina maendeleo, zamani mtumishi akihamishiwa Kigoma anaacha kazi
 
Walijenga madaraja usiku kwa sababu hawakuwa na technology za kukaushia maji kama Sasa.Pia mambo ya expansion joint ilikua ni factor pia.
Siku hizi zipo technology za kukausha maji iwe ziwani au baharini ili kuweka nguzo
Kuna uhusiano gani wa kukausha maji usiku na mchana?
 
Afrika bado tuna safari ndefu sana kwa kuendeleza mambo kama haya. Naunga mkono vijana wanaozamia maboti kwenda zao uko mbeleni.
 
Umenena vyema ila "brainwashed negropean" hawakawii kuja kukupopoa, achana nao sio kosa lao ni nje ya upeo wao
 
Kuna uhusiano gani wa kukausha maji usiku na mchana?
Mda wowote tu wanakausha siku hizi wanatumia pump na nguzo za chuma za kujilock ili kuzuia maji yasingie ndani ya mduara kisha wanayapumpa maji yote nje wanapata sakafu ya maji wanachimba msingi wanaweka nguzo ya zege
 
Hata makanisani na misikitini mnaabudu viumbe wenzenu, kina Mohamad na Emanuel (Yesu) ni mizimu ya kigeni ndo maana haina msaada nanyi si bora kuabudu mizimu yetu.
Tangu lini waislamu tukamuabudu muhammad (swalallah alayhi wasalam) 😆😆 yule ni binadamu kama mimi na wewe kijana acha kupotosha watu .

Tofauti ni kwamba yeye alikuwa mtume wa Allah(subhanna huwataala) hatumuabudu maana ni dhambi kubwa kumuabudu asiyekuwa Allah(subhanna huwataala).

Ishu ni kwamba mizimu haipo na haikuwahi kuwepo hata siku moja hayo ni majini mnayaabudu .
 
Tangu lini waislamu tukamuabudu muhammad (swalallah alayhi wasalam) [emoji38][emoji38] yule ni binadamu kama mimi na wewe kijana acha kupotosha watu .

Tofauti ni kwamba yeye alikuwa mtume wa Allah(subhanna huwataala) hatumuabudu maana ni dhambi kubwa kumuabudu asiyekuwa Allah(subhanna huwataala).

Ishu ni kwamba mizimu haipo na haikuwahi kuwepo hata siku moja hayo ni majini mnayaabudu .
Mnamuenzi
 
Kumbe hata kujisaidia wenyewe haiwezi sasa ina nguvu gani mpk imeibiwa ndio yale masanamu waliokuwa wakiabudu jamaa zake Nabii Ibrahim alipokuja kuwauliza hawasaidii lolote ndio hayo hayo mizimu.
 
Nguvu za uchawi Afrika zimepungua sana ukilinganisha na miaka uliyopita na zinaendelea kupungua jinsi wanadamu wanavyopata elimu na kujitambua siku hadi siku. Ndio mizimu inaibiwa hivyo na mwanadamu mwenyewe kwa kukua kwa uelewa wake wa mambo.
 
Back
Top Bottom