bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Aaaaah mizimu na maendeleo wapi na wapivipi huko hamna mzimu wa maendeleo?
Mizimu lilishindwa kutusaidia tusichukuliwe utumwani na kuzuia wakoloni.Hata makanisani na misikitini mnaabudu viumbe wenzenu, kina Mohamad na Emanuel (Yesu) ni mizimu ya kigeni ndo maana haina msaada nanyi si bora kuabudu mizimu yetu.
Kuna uhusiano gani wa kukausha maji usiku na mchana?Walijenga madaraja usiku kwa sababu hawakuwa na technology za kukaushia maji kama Sasa.Pia mambo ya expansion joint ilikua ni factor pia.
Siku hizi zipo technology za kukausha maji iwe ziwani au baharini ili kuweka nguzo
Hapo sasa! Ni sawa na kipofu kumwongoza kipofu.
Mda wowote tu wanakausha siku hizi wanatumia pump na nguzo za chuma za kujilock ili kuzuia maji yasingie ndani ya mduara kisha wanayapumpa maji yote nje wanapata sakafu ya maji wanachimba msingi wanaweka nguzo ya zegeKuna uhusiano gani wa kukausha maji usiku na mchana?
UZI UFUNGWE...Mizimu imeshindwa kujilinda itawezaje kuwalinda wengine
Tangu lini waislamu tukamuabudu muhammad (swalallah alayhi wasalam) 😆😆 yule ni binadamu kama mimi na wewe kijana acha kupotosha watu .Hata makanisani na misikitini mnaabudu viumbe wenzenu, kina Mohamad na Emanuel (Yesu) ni mizimu ya kigeni ndo maana haina msaada nanyi si bora kuabudu mizimu yetu.
🤣🤣🤣Iliibiwa au iliteketezwa na maombi ya walokole
[emoji1787]Mizimu lilishindwa kutusaidia tusichukuliwe utumwani na kuzuia wakoloni.
Ina faida gani Sasa Bora tu iibiwe
Bado kidogo utasema Mungu ameshindwa kujipigania mpaka apiganiweMizimu imeshindwa kujilinda itawezaje kuwalinda wengine
MnamuenziTangu lini waislamu tukamuabudu muhammad (swalallah alayhi wasalam) [emoji38][emoji38] yule ni binadamu kama mimi na wewe kijana acha kupotosha watu .
Tofauti ni kwamba yeye alikuwa mtume wa Allah(subhanna huwataala) hatumuabudu maana ni dhambi kubwa kumuabudu asiyekuwa Allah(subhanna huwataala).
Ishu ni kwamba mizimu haipo na haikuwahi kuwepo hata siku moja hayo ni majini mnayaabudu .