Orodha ya Mizimu iliyoibiwa mkoani Kigoma

Dhana kuwa Roho haifi ndo umizimu ?” Waebrania 1:4.TK 337.1

Imani kwamba roho za wafu zinarudi kuwahudumia waliohai imefungua mlango kwa ajili ya imani ya kisasa ya mizimu. Ikiwa wafu wanapata fursa ya kuwa na maarifa yanayozidi yale waliyokuwa nayo wakiwa hai, kwa nini wasirudi duniani ili wawafundishe walio hai? Ikiwa roho za wafu huvinjari juu ya rafiki zao duniani, kwa nini zisiwasiliane nao? Ni kwa namna gani wale wanaoamini kuwa mwanadamu anajitambua baada ya kifo wanaikataa “nuru ya Mungu” iliyoletwa na roho wenye utukufu? Hii ni njia inayotiliwa maanani kuwa ni takatifu ambayo kwayo Shetani anafanya kazi. Malaika walioanguka wanaonekana kama wajumbe kutoka katika ulimwengu wa roho.TK 337.2

Mkuu wa uovu anao uwezo wa kuleta mbele ya wanadamu mwonekano wa rafiki zao waliokufa. Sura ya bandia itaonekana ni kamilifu, imetengenezwa kwa ubainifu wa ajabu. Wengi wanafarijika kwa uhakika kwamba wapendwa wao waliokufa wana fursa ya kuwa mbinguni. Pasipo hisia za hatari wanasikiliza, “roho zidanganyazo” lTimotheo 4:1TK 337.3

Wale waliokufa pasipo matayarisho wanadai kuwa wana furaha na wanashika nyadhifa za juu mbinguni. Hawa wageni wakujifanya kutoka kwenye ulimwengu wa roho wakati mwingine wanatoa maonyo ambayo yanathibitika kuwa ni sahihi. Kisha, kwa sababu wameaminika, wanaleta mafundisho yanayoshusha hadhi ya Maandiko. Ukweli kwamba wanatoa baadhi ya kauli za kweli na pengine kubashiri matukio ya siku za usoni unawafanya kuaminika, na mafundisho yao potovu kukubalika. Sheria ya Mungu imewekwa kando, Roho wa neema amedhihakiwa. Hizo roho zinaukataa Uungu Wakristo na kumweka Mwumbaji daraja moja na wao. Wakati ni ukweli kwamba matokeo ya hila yamekuwa na ushawishi kana kwamba ni udhihirisho wa kweli, kumekuwa na maonesho wazi ya nguvu za miujiza, ambazo ni kazi za moja kwa moja za Shetani. Wengi wanaamini kuwa imani ya mizimu ni ulaghai tu wa wanadamu. Watakapokutana uso kwa uso na udhihirisho ambao watauona kama miujiza, watadanganyika na kuukubali kuwa ni uwezo mkuu ya Mungu.
 
Walijenga madaraja usiku kwa sababu hawakuwa na technology za kukaushia maji kama Sasa.Pia mambo ya expansion joint ilikua ni factor pia.
Siku hizi zipo technology za kukausha maji iwe ziwani au baharini ili kuweka nguzo
Natamani kujua zaidi hii technology inafanyaje kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…