Orodha ya mwisho ya Klabu Bora Africa 2023

recently yanga kuwa juu ya simba hilo ni sahihi kabisa, ila yanga kuwa top 3 huo ni urongo.... na alhy ahli kuwa top 3 duniani huo ndo utapeli kabisa.
Duniani ni ya 6.... angalia vzr
 
[emoji23][emoji23]
 
Sure
 
Hatujakataa ila zikiletwa takwimu za simba takadini na mazuzu wenzake watatumia kila aina njia kuthibitisha sio kweli mpaka sasa hawaamini kwamba simba ni team ya kwanza Tanzania kushiriki AFL na kuileta VAR uwanja wa mkapa.
 
Kutumia VAR nayo ni takwimu? mzee Rage aliona mbali
 
Hatujakataa ila zikiletwa takwimu za simba takadini na mazuzu wenzake watatumia kila aina njia kuthibitisha sio kweli mpaka sasa hawaamini kwamba simba ni team ya kwanza Tanzania kushiriki AFL na kuileta VAR uwanja wa mkapa.
[emoji23][emoji23] VAR Hata kwangu ipo kitambo
 
Poti za caf wakati wa kupanga makundi zilimaliza kila kitu na kila mtu akajua nafasi yake kweye pot
 
IFFHS wao hawa deal na mafanikio bali wana deal na overall performance za timu. Wao kazi yao ni kuchukua takwimu za idadi ya mechi ulizocheza, idadi ya magoli uliyofunga, idadi ya magoli uliyoruhusu, idadi ya clean sheet, idadi ya mechi ulizoshinda n k. Wao ni mwendo wa namba tu na ndio maana wanaitwa international federation of football history and statistics ( IFFHS)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…