Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23]Sawadakta nami nimehisi hivyo ila akili ikanigomea USM alger ambae ametwa shirikisho na bado akamtwanga al ahly kwenye super cup japo ligi ya ndani hakufanya vizuri, ndio asiwemo hata kwenye 10 bora wakati hapo kawazidi mafanikio wengi tu, kuna watu wapo kwenyr listi hata kombe la nyumbani hawakubeba, makombe ya caf hawakugusa.
Na ww umeingia mkenge wa huyu popoma...Kwani yule Mhasibu wa Mwamedi naye anasemaje?
SureSawadakta nami nimehisi hivyo ila akili ikanigomea USM alger ambae ametwa shirikisho na bado akamtwanga al ahly kwenye super cup japo ligi ya ndani hakufanya vizuri, ndio asiwemo hata kwenye 10 bora wakati hapo kawazidi mafanikio wengi tu, kuna watu wapo kwenyr listi hata kombe la nyumbani hawakubeba, makombe ya caf hawakugusa.
Mwingine ni yupi?Popoma mwingine ni huyu....kuanzia leo...
Vitaje mzeeVigezo vingi vinaangaliwa mzee
Kutumia VAR nayo ni takwimu? mzee Rage aliona mbaliHatujakataa ila zikiletwa takwimu za simba takadini na mazuzu wenzake watatumia kila aina njia kuthibitisha sio kweli mpaka sasa hawaamini kwamba simba ni team ya kwanza Tanzania kushiriki AFL na kuileta VAR uwanja wa mkapa.
Haya niambie team kushika nafasi ya tatu kuna zawadi gani mmepewa na FIFA au CAF kwa achievement hyo mzee wa nyuma mwiko.Kutumia VAR nayo ni takwimu? mzee Rage aliona mbali
[emoji23][emoji23] VAR Hata kwangu ipo kitamboHatujakataa ila zikiletwa takwimu za simba takadini na mazuzu wenzake watatumia kila aina njia kuthibitisha sio kweli mpaka sasa hawaamini kwamba simba ni team ya kwanza Tanzania kushiriki AFL na kuileta VAR uwanja wa mkapa.
Marumo alikuwa na performance gani huko kwao?Performance kubwa ligi za nyumbani na kimataifa
IFFHS wao hawa deal na mafanikio bali wana deal na overall performance za timu. Wao kazi yao ni kuchukua takwimu za idadi ya mechi ulizocheza, idadi ya magoli uliyofunga, idadi ya magoli uliyoruhusu, idadi ya clean sheet, idadi ya mechi ulizoshinda n k. Wao ni mwendo wa namba tu na ndio maana wanaitwa international federation of football history and statistics ( IFFHS)Sawadakta nami nimehisi hivyo ila akili ikanigomea USM alger ambae ametwa shirikisho na bado akamtwanga al ahly kwenye super cup japo ligi ya ndani hakufanya vizuri, ndio asiwemo hata kwenye 10 bora wakati hapo kawazidi mafanikio wengi tu, kuna watu wapo kwenyr listi hata kombe la nyumbani hawakubeba, makombe ya caf hawakugusa.