Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema neno ndugu yetu. Deni linahimilika hilo?
Willy Mwaijibe YangaNamba 3 imenikumbusha Mabeki mashuhuri
1. Mohamed Kajole - Simba
2. Ahmed Amasha - Yanga
3. Fred Felix Minziro - Yanga
😂😂😂🐼
Kumbe mchina anatudai pesa nyingi hvyo?
mbona kenya aipo wakati kidogo wachina wachukue uwanja wa ndege wa jomo kenyata na bandari ya mombasa?
Labda haipo kwenye kigezo cha nchi maskini sana kama sisi duniani.mbona kenya aipo wakati kidogo wachina wachukue uwanja wa ndege wa jomo kenyata na bandari ya mombasa?
Hata Uganda si walisema Entebe Airport inachukuliwa?Mbona Kenya hawapo. Wakati wao uzito wa deni almanusra Port of Mombasa ichukuliwe na Mchina!?