Orodha ya Nchi Maskini zinazoongoza kwa mikopo kutoka China

Orodha ya Nchi Maskini zinazoongoza kwa mikopo kutoka China

Chakufikirisha ni kama nao hali ni mbaya kumbe sio mbaya kama waliopo kwenye orodha hii.
Inawezekana sana mkuu. Kama sisi watanzania tulivyo kuwa tunaaminishwa kuwa deni letu ni himilivu. Walio onesha mashaka yao kama watanzania wamelazimishwa kujiuzuru
 
Tanzania 12.6 Billion US Dollars kabla ya Riba hivi hizi fedha huwa wanazipeleka wapi?🫣🤔

Ndio maana wanawaanda na Watoto wao ili waendelee kuwa KUPE na sisi ndio walipaji.
 
Tanzania 12.6 Billion US Dollars kabla ya Riba hivi hizi fedha huwa wanazipeleka wapi?🫣🤔

Ndio maana wanawaanda na Watoto wao ili waendelee kuwa KUPE na sisi ndio walipaji.
🤫
 
Duuh yaan Tz ni no 4, wallah hii nchi itauzwaaa, khaaah
😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom