R Rwebo JF-Expert Member Joined Oct 17, 2015 Posts 1,418 Reaction score 1,820 Dec 14, 2023 #22 vvm said: Chakufikirisha ni kama nao hali ni mbaya kumbe sio mbaya kama waliopo kwenye orodha hii. Click to expand... Inawezekana sana mkuu. Kama sisi watanzania tulivyo kuwa tunaaminishwa kuwa deni letu ni himilivu. Walio onesha mashaka yao kama watanzania wamelazimishwa kujiuzuru
vvm said: Chakufikirisha ni kama nao hali ni mbaya kumbe sio mbaya kama waliopo kwenye orodha hii. Click to expand... Inawezekana sana mkuu. Kama sisi watanzania tulivyo kuwa tunaaminishwa kuwa deni letu ni himilivu. Walio onesha mashaka yao kama watanzania wamelazimishwa kujiuzuru
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Dec 14, 2023 #23 Ahsante kwa taarifa...
E Eddy da Rose Jr JF-Expert Member Joined Jun 1, 2023 Posts 244 Reaction score 248 Dec 22, 2023 #24 Tumejitahidi.Tunakaribia kuingia top three.
Akilindogosana JF-Expert Member Joined Jan 12, 2020 Posts 4,303 Reaction score 12,679 Dec 22, 2023 #25 Utekelezaji wa ilani
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 55,997 Reaction score 88,219 Dec 22, 2023 #26 Tanzania 12.6 Billion US Dollars kabla ya Riba hivi hizi fedha huwa wanazipeleka wapi?π«£π€ Ndio maana wanawaanda na Watoto wao ili waendelee kuwa KUPE na sisi ndio walipaji.
Tanzania 12.6 Billion US Dollars kabla ya Riba hivi hizi fedha huwa wanazipeleka wapi?π«£π€ Ndio maana wanawaanda na Watoto wao ili waendelee kuwa KUPE na sisi ndio walipaji.
Ndengaso JF-Expert Member Joined Jul 18, 2014 Posts 7,831 Reaction score 14,259 Dec 22, 2023 Thread starter #27 imhotep said: Tanzania 12.6 Billion US Dollars kabla ya Riba hivi hizi fedha huwa wanazipeleka wapi?π«£π€ Ndio maana wanawaanda na Watoto wao ili waendelee kuwa KUPE na sisi ndio walipaji. Click to expand... π€«
imhotep said: Tanzania 12.6 Billion US Dollars kabla ya Riba hivi hizi fedha huwa wanazipeleka wapi?π«£π€ Ndio maana wanawaanda na Watoto wao ili waendelee kuwa KUPE na sisi ndio walipaji. Click to expand... π€«
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 96,456 Reaction score 156,324 Dec 22, 2023 #28 Duuh yaan Tz ni no 4, wallah hii nchi itauzwaaa, khaaah ππππ