Orodha ya nchi zenye sarafu dhaifu Afrika 2025 ukilinganisha na dollar

Orodha ya nchi zenye sarafu dhaifu Afrika 2025 ukilinganisha na dollar

Kidagaa kimemwozea

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2018
Posts
3,680
Reaction score
6,554
Top 10 African countries with the weakest currencies in Africa 2025

1)-São Tomé and Príncipe 🇸🇹 22,281.8 Dobra

2)-Sierra Leone 🇸🇱20,969.5 Sierra Leonean Leone

3)-Guinea 🇬🇳 8,626.3 Guinea Franc

4)-Uganda 🇺🇬 3,673.6 Ugandan Shilling

5)-Burundi 🇧🇮 2,954.3 Burundian
Franc

6)-Democratic Republic of Congo 🇨🇩 2,856.3 Congolese Franc

7)-Tanzania 🇹🇿2,594.0 Tanzanian Shilling

8)-Malawi 🇲🇼 1,729.6 Malawian Kwacha

9)-Nigeria🇳🇬 1,497.0 Nigerian Naira

10)- Rwanda🇷🇼 1,404.4 Rwandan Franc

Source: Business Insider Africa
 
Wakati huo huo miaka ya 1970's dola moja ya Marekani ilikuwa ni shilingi 5 tu ya Kitanzania! Na ndiyo kipindi hicho jina la daladala lilipozaliwa Jijini Dar es salaam.

Maana abiria walikuwa wakilipa shilingi 5 kama nauli. Na shilingi tano kwa kipindi hicho ilikuwa ni sawa na dola moja. Ila baada ya sababu mbalimbali kujitokeza kwenye miaka hiyo ya 70 na 80, ndipo kila mwaka thamani ya dola iliendelea kupanda, huku thamani ya shilingi ikizidi tu kushuka mpaka leo.
 
Back
Top Bottom