Orodha ya Nchi zinazoongozwa Kidini au Dini inanguvu ya ushawishi

Ndio hizo nilozokuwekea zinaongozwa wazi wazi kwa udini

1, Uislam - mifano ipo mingi kila siku utaiona

2. Hinduism - Dini ina matabaka ya watu ukizaliwa tabaka flani imeaminishwa umezaliwa kuteseka na kutumikishwa, wao hawali ngombe hawataki wengine mle na mkikaidi mnauliwa, Kuna sheria kali za kuzuia waumini wa hinduism kuhamia dini nyingine (anti conversion laws), Wakristo wengi wanauawa na kunyanyaswa kwasababu wahindu wanaona ni tishio kwa dini yao.

Dini inaweza kuwa nzuri lakini nchi ikijaa watu wa dini flani ambayo huwa kuna kikundi cha watu ndani yake wanaoamini dini yao ni bora zaidi ilazimishwe kwa kila mtu kufuata sheria zake na wanaokaidi kuonekana maadui, nchi hizo huangukia zaidi kwenye matatizo ya kidini.

Ukija kwenye nchi za kikristo dini nyingine zipo huru huwezi kusikia mtu kabadili dini apate kibali, apigwe, kufungwa au kuuwawa, Watu wa dini nyingine hawaitwi majina ya ajabu mfano kafir, dini nyingine wengi wanapewa vyeo na kazi kwenye nafasi za uongozi na taaluma, n.k
 
andiko zuri hongera kwa utafiti mzuri
 
Umeandika vyema
 
Sabato Masalia Waliotaka Kwenda Ulaya Bila Passport
Walokole sio dini rasmi hata kwa wakatoliki na waluteri utawakuta walokole.. sema wajanja wakaja na. Idea za kufungua tasisi zao na kuyaita ya makanisa kilokole wakat ulokole ni
Itikadi..

Kanisa gani ambalo Kiongoz anayejiita mara askofu mara nabii.. kila
Kitu yeye ana uwezo wa kulifunga kanisa au akabadili taratibu za uendeshaji.
 
UMesahau zambia ambayo katiba yao imetamka kwamba ni nchi ya kikristo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…