Orodha ya nyimbo na watunzi za Juwata jazz toka mwaka 1977 mpaka mwaka 1997

Orodha ya nyimbo na watunzi za Juwata jazz toka mwaka 1977 mpaka mwaka 1997

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Mwk 1977 nyimbo 7
*Selemani
*Sakina
*Aziza
*Dada nalia
*Dawa ya mapenzi
*Azimio la Arusha
*Benk ya biashara

Mwk 1978 nyimbo 6
*Mwana acha wizi: Mabera
*Mpenzi Zalina: Bitchuka
*Ccm: Mwanyiro
*Nidhamu ya kazi: Bitchuka
*Vijana tujitokeze:
*Mariamu: Mabruk Khalfani

Mwk 1979 nyimbo 5
*Uzuri si Shani: Mabera
*Tumetangaza vita:Bitchuka
*Umenitoa kivulini: Lusungu
*Chombo chetu Juwata:
*Sogea karibu: B/Kakele

Mwk 1980 nyimbo 6
*Nimekubari makosa:Beresa Kakele
*Mwenda pole: Lusungu
*Ete: Lusungu
*Huseni: Mabera
*Fukara hapendezi: Beresa Kakere
*Usia wa baba: Mabruki

Mwk 1981 nyimbo 7
*Fatuma: Dede
*Jane: Dede
*Christopha: Mabruki
*Crdb:
*Rushwa:
*Tuinue uchumi wetu😀ede
*Dunia tambala bovu:Lusungu

Mwk 1982 nyimbo 11
*Ana: Dede
*Kashifa:
*Juleka: Dede
*Jefa: Dede
*Tama: Lusungu
*Rangi ya kinyonga:Lusungu
*Mariamu: Dede
*Kama umenichoka:
*Kiruthumu: Dede
*Aisha: Abdi Mketema
*Ombi:

Tena mwk 1982 nyimbo 6
*Umbea: Lusungu
*Hashibae: Mponda
*Mwandani: Abdi Mketema
*Radhi ya wazazi: Mabera
*Hamida: Tx Moshi
*Penzi limetoweka:Mponda
MWAKA 1 NYIMBO 17 ZOTE ZA MOTO

Mwk 1983 nyimbo 7
*Faulata: Lusungu
*Cecilia: Mponda
*Zaituni:
*Tabu: Mabera
*Wema umeniponza:Tx Moshi
*Tuendeleze mapambano:
*Mwanaidi: Mponda

Mwk 1984 nyimbo 6
*Zaina: Mponda
*Kalumanzila:
*Selemani:Mabruki
*Fatuma: Tx Moshi
*Kama ni mtoto nampenda: Selemani Mbwembwe
*Baba Shabani: Tx Moshi

Tena mwk 1984 nyimbo 6
*Nenda salama: Mponda
*Kikulacho: Tx Moshi
*Nipo Tabora: Mbwembwe
*Kaka Nassoro:Lusungu
*Msiibe msiuwe: Tx Moshi
*Namsaka mbaya wangu:Mponda

Mwk 1985 nyimbo 7
*Abedi: Mponda
*Siwema: Tx Moshi
*Umegundulika:Hamisi Kitambi
*Pamela: Fresh Jumbe
*Mimi mkulima: Mabera
*Uwa jipya: Mponda
*Kanjerenjere:Mabera

Mwk 1986 nyimbo 5
*Asha Mwanasefu:Tx Moshi
*Solemba:Niko Zengekala
*Kambarahe Nyerere:Tx Moshi
*Hasira hasara:Isa Ramadhani(baba Isaya)
*Msafiri kakiri:Tx Moshi

Mwk 1987 nyimbo 5
*Prisila: Selemani Mbwembwe
*Bahati: Tx Moshi
*Mandela: Tx Moshi
*Mahamudu: Lusungu
*Tupatupa: Tx Moshi

Mwk 1988 nyimbo 6
*Ajuza: Tx Moshi
*Kimwaga: Dede
*Shida mpaka lini:Mbwembwe
*Sauda😀ede
*Tuna: Tx Moshi
*Baba Sani: Mbwembwe

Mwk 1989 nyimbo 8
*Queen KASE: Tx Moshi
*Baba Mayi: Tx Moshi
*Penye penzi hapakosi penzi: Mbwembwe
*Berinda: Tx Moshi
*Tahadhari na Dunia:Tx Moshi
*Hongera wajumbe:Tx Moshi
*Nyabasi: Tx Moshi
*Mwanaenzi: Tx Moshi

Mwk 1990 Hawakurekodi

Mwk 1991 nyimbo 10
*Cheusi Magala: Tx Moshi
*Miss: Lusungu
*Kwaheri Kambarage:Tx Moshi
*Usia kwa watoto: Muhidin Gurumo
*Moyo wa kuendekeza:Tx Moshi
*Tulikotoka ni mbali: Bitchuka
*Mwanahawa: Athumani Momba(utunzi wake wa kwanza Msondo)
*Hakimu ni mola: Tx Moshi
*Ole wasumbuka: Bitchuka
*Yatima: Tx Moshi

Mwk 1992 nyimbo 7
*Binti maringo: Tx Moshi
*Kifo cha baba:Mabera
*Mwana mkiwa: Tx Moshi
*Kashinda: Tx Moshi
*Shangazi: Hamisi Kitambi
*Damu nzito: Joseph Maina,utunzi wake wa kwanza Msondo
*Kwanini wanionea: Tx Moshi

Mwk 1993 Hawakurekodi

Mwk 1994 nyimbo 7
*Kauka nikuvae: Mwanyiro
*Mwanaidi: Abdi Mketema
*Ashura:Bitchuka
*Grolia: Tx Moshi
*Baba kavamia mji: Tx Moshi
*Last card: Athumani Momba
*Rose : Mwanyiro

Mwk 1995 nyimbo 7
*Mama kanitupa: Tx Moshi
*Zainabu: Abdi Mketema
*Kasheshe: Mwanyiro
*Nimechoka mwenzenu: Mwanyiro
*Rehema Niko: Tx Moshi
*Darubini ya mapenzi: Tx Moshi
*Ilove you so much: Abdi Mketema

Mwk 1996 nyimbo 7
*Moza china: Mwanyiro
*Carolina: Tx Moshi
*Mola wangu: Tx Moshi
*Usichukuwe hasira: Mwanyiro
*Sinandi kutana uye: Joseph Maina(waliimba kwa lugha ya Kigogo)
*Don't cry Jane: Tx Moshi,ndio wimbo wa kwanza Zahoro Bangwe kupiga solo Msondo

ZOEZI LINAENDELEA,NITARUDI TENA
 
Yule shangazi wa ilala alisababisha vifo vya wanamuzimi wa hii band kwa kuwaambukiza....
 
Back
Top Bottom