Professionally inatakiwa ufanye kazi yako afu kazi ndo itumike Kama matangazo ya kukutafuta.
Wewe ni architecture or civil Engineer by Career.
Afu usiweke tu Afrika so huwazi Ulaya mkuu. Please think Globally Kama umeamua kupigana. Na sio Africa tu even Asia.
Kuna wahindi wengi Sana wanajichanganya kwa hizi mambo