Orodha ya Taasisi za Serikali ambazo hazipokei simu pamoja na kuweka namba za simu mtandaoni

Orodha ya Taasisi za Serikali ambazo hazipokei simu pamoja na kuweka namba za simu mtandaoni

BRELA walikuwa hawapokei, kuna siku nikawapigia kupitia Lugha ya malikia wakapokea fasta!
 
Nashukuru nawapa heko MCT Tanzania madaktari siku zote ni watu makinii
 
Ofisi na taasisi nyingi za serikali hawapokei simu pamoja na kuweka namba za simu mtandaoni.
  1. BRELA
  2. Baraza la Wataalamu wa Maabara
Karibu taasisi zote za serikali hawapokei simu hata kama namba zipo, kwenye e-mail sasa ndo shughuli. Hawajibu kabisa. Hili wakubwa huko juu waliangalie, nchi inaenda kianalogy sana.
 
Karibu taasisi zote za serikali hawapokei simu hata kama namba zipo, kwenye e-mail sasa ndo shughuli. Hawajibu kabisa. Hili wakubwa huko juu waliangalie, nchi inaenda kianalog sana.
Hata hao wakubwa huko juu nani kakuambia ofisini kwao simu zinapokelewa?
Naona bora wasingetoa namba zao kwa umma
 
Back
Top Bottom