Orodha ya Taasisi za Serikali ambazo hazipokei simu pamoja na kuweka namba za simu mtandaoni

BRELA walikuwa hawapokei, kuna siku nikawapigia kupitia Lugha ya malikia wakapokea fasta!
Umeongea upupu tu. Simu unapopiga lugha inahusikaje?kama hawakupokea....shule si zimefunguliwa lakini?huendi shule wewe dogo?
 
Tafuta namba zao mtandaoni uwapigie utaulizwa utumie lugha gani, Acha kelele!
 
Halotel kumejaa mayai viza
Hawa wamekithiri huwa naamua kuwatumia sms kwenye ac zao za mitandao ya kijamii na kwenye email. Jana niliongea na mhudumu wao ni mdada ana kichwa kigumu sana haelewi tatizo langu mwisho akaniambia kata simu kuna ujumbe utatumwa kwenye line ukiingia nipige tena, mpaka sasa huo ujumbe hakuna.
 
Hawaja wapa mafunzo yaliyo bobea huwezi kuta airtel wanafanya ujinga uho umekosea ndani ya masaa kumi na mbili muhamala umeludi
 
😬😬 they lack proffessionalism mbwa hawa wanawekana tu ofisini. Mwaka juzi nilienda halotel Dodoma HQ, nilikua nafuatilia taarifa za miamala ni kitendo cha kuniprintia tu ebhana eeh nilizungushwa oh mara mhasibu hayupo, nenda urud sijui ijumaa yaani full kero mwisho wa siku nikaona upuuzi nikaachana nao. Kulikua na lishangazi jeupe fulani hivi anavyojibu tu unajua hapa kawekwa sio fani yake. Kwanza muda wote lipo insta anakuskiliza huku anaendelea kusurf.
 
Ase walikukuta wewe mpole 😂
 
Hawa wamekithiri huwa naamua kuwatumia sms kwenye ac zao za mitandao ya kijamii na kwenye email. Jana niliongea na mhudumu wao ni mdada ana kichwa kigumu sana haelewi tatizo langu mwisho akaniambia kata simu kuna ujumbe utatumwa kwenye line ukiingia nipige tena, mpaka sasa huo ujumbe hakuna.
Mimi nadhani halotel wakiajiri wasichana wanaangalia chura hawaangalii kilicho kichwani.

Kila siku tunawaambia...
Jamani matako sio akili.
 
Back
Top Bottom