Orodha ya vilabu vyenye mafanikio zaidi bara la Africa

John Gregory

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2019
Posts
1,137
Reaction score
2,147
Kwa mujibu wa shirika la Soccerzone, iliyotoa orodha ya vilabu vyenye mafanikio zaidi kwa kila nchi, Club ya Yanga pekee imeng'ara kwa alama nyingi zaidi ikiachwa mbali kidogo na mahasimu wao club ya Al ahly ya nchini Misri.
Orodha hiyo yenye vilabu kama
TP Mazembe ya nchini Congo
Al ittihad ya nchini Libya
Asec Mimosas ya nchini Ivory coast
Esperancè de Tunis ya nchini Tunisia
Wydad AC ya nchini Morroco
Na club nyinginezo kubwa katika bara la Africa.

Hongera Yanga sc
Hongera Tanzania



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…