Orodha ya Vipodozi vilivyopigwa Marufuku Tanzania

Mbona inaonekana kama zote zimepigwa marufuku, kuna zilizobakia kweli ?
 
Hivyo vipodozi ni dili sana kwa sasa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Urembo wa kununua una gharama kubwa sana kifedha na kiafya.
Dada zetu kwa nini lakini hamridhiki na uzuri wenu wa asili mpaka mnaamua kuweka afya zenu rehani?
Mbona nyinyi ni wazuri tu bila hata kutumia hayo makemikali?
 
Aisee! Sema nini ikibidi elimu iwepo pia tena ya kutosha juu ya madhara kwani nionavyo ipo chini sana.

Na ndio sababu vipodozi vingine hapo ni enzi na enzi vimekatazwa na inajulikana lakini mpaka leo vipo na watu wananunua.
 

Aisee aisee pepo wataisikia tuu, sio kwa style hii. Mengi mnoo, mengine nayapita tuu.
 
Na hivi ndo unakuta ni vipodozi pendwa kwa hawa mibebez....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…