Orodha ya Vipodozi vilivyopigwa Marufuku Tanzania

Orodha ya Vipodozi vilivyopigwa Marufuku Tanzania

Hivo vipodozi kitambo vinajulikana havitakiw vita ya vipodozi ishawashinda vipodozi vyote hivo havitengenezwi Tanzania na vimejaa madukani nchi nzima sasa vinaingiaje ingiaje?
Ndio mtusaidie sasa nyie kina mama na kinadada muwe kama ma informants uzuri ofisi zetu na namba zetu mnazijua au taarifa kutuhusu zipo mtandaoni tusaidieni tutokomeze
 
Mkuu acha uongo znauzwa phamancy zmekuwa dawa hzo
Yes ni dawa. End of last year nilikwenda kwa laser, ikaniunguza vibaya sana, kila mtu akawa ananiambia niwafungulie mashatka. Nilipewa dawa za vidonda, vikapoma, ikabaki makovu. Dr akaniandikia dawa yenye Hydroquinone.
 
Mekako jamani ahaaa
Kipodozi cha kitambo sana
Daaah nimeuza sana haya makitu !!Mekako na Jaribu Pia kulikua na lotion inaitwa GG , kipindi hicho !!nilishaacha lakini Huwa nikiwaona wateja wangu ngozi zao aseee nafsi huwa inanisuta hadi leo ! Hasa usoni zina effect mbaya !!! Wao walikua pia wanakwangua sabuni hizo wanachanganya lotion !!
 
Hyo n list ya miaka mitatu nyuma hii yasasa ililenga lotion Sana Kama Nivea, Revlon, Vaseline, Dove na zinginezo ambazo zimezoeleka kwa watumiaji hapa Tanzania.
 
Vaseline Blue seal for Men kwenye ingredients kuna Butylphenyl methylpropional (lilial), kwenye NOTICE ya TBS ya tarehe 22 April 2022, wameweka Butylphenyl methylpropional (lilial) kama kiambata kinacho athiri mfumo wa uzazi (Infertility), Je tuache kutumia hayo mafuta ya VaSeline Blue seal for Men? Nikilejea vipodozi vilivyopigwa marufuku hii vaseline for men haipo miongoni mwa bidhaa zilizopigwa marufuku.

Nadhani TBS wanapaswa kutolea ufafanuzi ili suala kwanii kuna vipodozi vingi vilivyopo apa Nchini vina hicho kiambata cha Butylphenyl methylpropional (lilial) , kinachotumika kuongeza marashi (fragrance ) kwenye vipodozi

TBS.png
vaseline.jpg
/.IU
vaseline for men.jpg
 
Attachments

View attachment 2204036View attachment 2204038/.IUView attachment 2204037
Makubwaaa!! Sasa watu tupake nini?
 
Back
Top Bottom