Orodha ya Vipodozi vilivyopigwa Marufuku Tanzania

Orodha ya Vipodozi vilivyopigwa Marufuku Tanzania

Vaseline Blue seal for Men kwenye ingredients kuna Butylphenyl methylpropional (lilial), kwenye NOTICE ya TBS ya tarehe 22 April 2022, wameweka Butylphenyl methylpropional (lilial) kama kiambata kinacho athiri mfumo wa uzazi (Infertility), Je tuache kutumia hayo mafuta ya VaSeline Blue seal for Men? Nikilejea vipodozi vilivyopigwa marufuku hii vaseline for men haipo miongoni mwa bidhaa zilizopigwa marufuku.

Nadhani TBS wanapaswa kutolea ufafanuzi ili suala kwanii kuna vipodozi vingi vilivyopo apa Nchini vina hicho kiambata cha Butylphenyl methylpropional (lilial) , kinachotumika kuongeza marashi (fragrance ) kwenye vipodozi

View attachment 2204036View attachment 2204038/.IUView attachment 2204037
hiyo ingredient walishaitoa kwa mafuta ya sasa !! pia uzito wa mafuta sio 250 tena ni 240g kuna ingredient kama tatu wamezitoa !!
 
Sasa mbona hiyo la Vista inatangazwa hadharani na Rest na hafanywi kitu? WIX serum pia zinatangazwa mitandaoni humo

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
 
ni ujinga mipakani vinapita alafu mtakuja kuwatia hasara wenye maduka!
 
Back
Top Bottom