Orodha ya Vipodozi vilivyopigwa Marufuku Tanzania

Hivo vipodozi kitambo vinajulikana havitakiw vita ya vipodozi ishawashinda vipodozi vyote hivo havitengenezwi Tanzania na vimejaa madukani nchi nzima sasa vinaingiaje ingiaje?
Hivyo vipodozi haviji kama vilivyo hapo, zinaingia nchini bidhaa tofaut tofaut ndio wakimix wanapata hivyo
 
Ahsante kwa taarifa, tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Vimepigwa marufuku kuuzwa madukani? Nchi za wenzetu vitu kama hivi vinauzwa kwenye pharmacy tuu na lazima dr. akupe prescription .
Sasa mkuu nchi yenu ndiyo kama hivi, unategemea nini hapo!.
 

Hii sumu yote wake zetu wanatumia? Kumbe ndo maana kila mwanamke siku hizi ana mabaka kama ya kenge aisee.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…