Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Ndio mtusaidie sasa nyie kina mama na kinadada muwe kama ma informants uzuri ofisi zetu na namba zetu mnazijua au taarifa kutuhusu zipo mtandaoni tusaidieni tutokomezeHivo vipodozi kitambo vinajulikana havitakiw vita ya vipodozi ishawashinda vipodozi vyote hivo havitengenezwi Tanzania na vimejaa madukani nchi nzima sasa vinaingiaje ingiaje?
Tunaazaje kutokomeza wapakaji ndio siyeNdio mtusaidie sasa nyie kina mama na kinadada muwe kama ma informants uzuri ofisi zetu na namba zetu mnazijua au taarifa kutuhusu zipo mtandaoni tusaidieni tutokomeze
Yes ni dawa. End of last year nilikwenda kwa laser, ikaniunguza vibaya sana, kila mtu akawa ananiambia niwafungulie mashatka. Nilipewa dawa za vidonda, vikapoma, ikabaki makovu. Dr akaniandikia dawa yenye Hydroquinone.Mkuu acha uongo znauzwa phamancy zmekuwa dawa hzo
Daaah nimeuza sana haya makitu !!Mekako na Jaribu Pia kulikua na lotion inaitwa GG , kipindi hicho !!nilishaacha lakini Huwa nikiwaona wateja wangu ngozi zao aseee nafsi huwa inanisuta hadi leo ! Hasa usoni zina effect mbaya !!! Wao walikua pia wanakwangua sabuni hizo wanachanganya lotion !!Mekako jamani ahaaa
Kipodozi cha kitambo sana
Nivea creme au?Nivea, Dove mbona havipo?
NdiyoNivea creme au?
Duh! Naitumia hiyo.Ndiyo
Nivea na Dove ni kampuni kubwa Sana DunianiDuh! Naitumia hiyo.
Sasa inakuaje ziwepo kwene list ya vipodozi hatari au kuna fake zake??Nivea na Dove ni kampuni kubwa Sana Duniani
Hatar mno[emoji23]Na tutafanana mwaka huu..hehehe
Makubwaaa!! Sasa watu tupake nini?Vaseline Blue seal for Men kwenye ingredients kuna Butylphenyl methylpropional (lilial), kwenye NOTICE ya TBS ya tarehe 22 April 2022, wameweka Butylphenyl methylpropional (lilial) kama kiambata kinacho athiri mfumo wa uzazi (Infertility), Je tuache kutumia hayo mafuta ya VaSeline Blue seal for Men? Nikilejea vipodozi vilivyopigwa marufuku hii vaseline for men haipo miongoni mwa bidhaa zilizopigwa marufuku.
Nadhani TBS wanapaswa kutolea ufafanuzi ili suala kwanii kuna vipodozi vingi vilivyopo apa Nchini vina hicho kiambata cha Butylphenyl methylpropional (lilial) , kinachotumika kuongeza marashi (fragrance ) kwenye vipodozi
View attachment 2204036View attachment 2204038/.IUView attachment 2204037
Hivi kumbe na Goldie Ni wale wale.... Dohhhh😂Vipodozi kibao hapo havijaorozeshwa.
Mfano Goldie, Pure white, Cocpulp n.k