Uchaguzi 2020 Orodha ya wabunge na watia nia ambao kama watagombea hawatarudi bungeni 2020 kupitia vyama vyao au kisanduku cha kura

Enzi na Enzi

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2020
Posts
888
Reaction score
821
Kuna kila sababu ya wabunge na watia nia hawa, kutopitishwa na vyama vyao vya siasa kugombea .

1. Wabunge wote wa CHADEMA sababu wameonesha kuwa siasa zao ni za kujinufaisha wao bila kujali wananchi! Hasa kipindi cha corona walisikika wakitaka nchi iwe lockdown.
2. Zitto - Kigoma Mjini
3. Raphael Chegeni - Busega
4. Ezekiel Maige - Msalala
5. Masele - Shinyanga Mjini
6. Mabula - Nyamagana
7. W. Ngeleja - Sengerema
8. Mathayo D. - Musoma
9. Dkt. Kamani - Mtia nia Busega
10. Dkt f. Limbu - Mtia nia Magu
11. Kiswaga - Magu
12. Eng Manyanya - Nyasa
13. J. Mhagama - Peramiho
14. Nchambi - Kishapu
15. ........ - Maswa

Unaweza kuongeza wakutoka au kutete wanaotakiwa kuondoka.
 
Team ya CCM 2005 iliyomuweka JK madarakani inateketea maskini....!! tulifikiri itanyenyuka lakini wapii...

No 2 anarudi - ila sema umemsahau mzee wa Vijicenti
 
Ni mtazamo tu washikaji msijenge chuki (alisikika akisema Afande Sele) šŸ˜€ šŸ˜€ šŸ˜€
 
Team ya CCM 2005 iliyomuweka JK madarakani inateketea maskini....!! tulifikiri itanyenyuka lakini wapii...

No 2 anarudi - ila sema umemsahau mzee wa Vijicenti

No.2 hata kugombea nikama anaogopa.
Mzee wa vijisenti anakubarika sana.
Harafu alitoa ushirikiano sana kuonyesha chocho zte walizotumia kupiga.
Nikama wapo vzr saivi .

Sema nimemsahau Dalali Kafumu wa jimbo la Igunga.
 
No.2 hata kugombea nikama anaogopa.
Mzee wa vijisenti anakubarika sana.
Watakaopenya ni wateule tu.... mwenyekigoda na mzee wa vijicent wapi na wapi ndugu? upepo hauvumi kaka.
 
Yaani Zitto asipitishwe na chama chake mwenyewe kama ataamua kugombea? You are dreaming. Zitto ndio mpitisha majina ya wagombea wa chama chake
 
Yaani Zitto asipitishwe na chama chake mwenyewe kama ataamua kugombea? You are dreaming. Zitto ndio mpitisha majina ya wagombea wa chama chake

Ludia kusoma habari kabla ya comment.
Nimesema ndani ya vyama vyao vya siasa au kisanduku cha KURA.

Au hangover za faru john mzee??
 
Kuwepo na tume huru kisha uje na hayo maelezo yako kwa upya hasa kuhusu wabunge wa Vyama vya Upinzani.
 
16. Ole melya wajimbo la simanjiro
17. Mollel wa Jimbo la siha
18.shaly Raymond viti maalum ccm Kilimanjaro
19. Prof magembe Jimbo la mwanga kilimanjaro
20.Riziwani kikwete Jimbo la chalinze
21. Job ndugai Jimbo la kongwa
22. Mbunge Jimbo la nyangwale geita
23. Mbunge Jimbo la Arusha mjini CDM

24. Mbunge Jimbo la meru ccm
25. January makamba
26. Mbunge wa biharamulo
27. Mbunge wa Jimbo la Serengeti Mara
28. Jimbo la monduli arusha
 

Eti job ndugai nimecheeeka🤣🤣🤣 mkuu hatamuacha hta kwa nyungu.
 
William Ngeleja - Sengerema
Dalali Kafumu - Igunga
Suleiman Zedi - Bukene
Charles Mwijage - Muleba
Mwarabu wa Kilosa
Muhindi wa Kwimba
Mwarabu wa Solwa - Shinyanga Vijijini
 
William Ngeleja - Sengerema
Dalali Kafumu - Igunga
Suleiman Zedi - Bukene
Charles Mwijage - Muleba
Mwarabu wa Kilosa
Muhindi wa Kwimba
Mwarabu wa Solwa - Shinyanga Vijijini

Mzee baba yule muhindi wa kwimba yule nadhani anaweza chinjiwa kulekule wilayani au mkoani.
 
No.2 hata kugombea nikama anaogopa.
Mzee wa vijisenti anakubarika sana.
Harafu alitoa ushirikiano sana kuonyesha chocho zte walizotumia kupiga.
Nikama wapo vzr saivi .

Sema nimemsahau Dalali Kafumu wa jimbo la Igunga.
Kiswahili chenyewe hujui!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…