Uchaguzi 2020 Orodha ya wabunge na watia nia ambao kama watagombea hawatarudi bungeni 2020 kupitia vyama vyao au kisanduku cha kura

Kuna mbunge wa viti maalum nilikuwaga namkula kimashara sijuwi atarejea jamani make ashanilemaza hata kazi nilikuwa sitaki kufanya.
 
Mwenye ku delete hao msiotaka au asiotaka ni mpiga kura au wenye nchi?
 
Inategemea jiwe kaamkaje siku hiyo. Inashangaza vijana wa kisasa kushabikia ccm.
 
Bunge lijalo linaweza kuwa na wabunge wengi kutoka Upinzani,Tusubiri muda utatoa majibu
 
Bunge lijalo linaweza kuwa na wabunge wengi kutoka Upinzani,Tusubiri muda utatoa majibu

🤣🤣🤣 pole sana mkuu!
Nikutabirie wabunge wengi wa upinzani hawatazidi 9 kwa huku bara, tena watakuwa ni wa NCCR na CUF

Bunge lijalo nilawabunge wengi wapya tena ni wa ccm
Bunge lijalo linaweza kuwa na wabunge wengi kutoka Upinzani,Tusubiri muda utatoa majibu
 
10. Dkt f. Limbu - Mtia nia Magu
Dk Limbu ameshauriwa safari hii achukue jimbo la Sumve, liko wazi baada ya Mh. Ndassa kufariki. Bila Limbu kwenda kusimama jimbo hilo kuna uwezekano mkubwa kwamba CCM wanaweza kulipoteza. Vijana wa jimbo hilo wote waoga kugombea, unless labda iwe kuna mtu ambaye mimi simfahamu!
 
Kwa Dr. Limbu kwenda jimbo la sumve ni afadhari! Maana magu haweziwaambia kitu, yule jamaa mbinafsi sana, anakiburi cha uzima pia, ila watu wa sumve utawasikia tu watakavyolia km watampitisha.
 
Kabla ya mpiga kura ni wenye vyama.
Kwa hiyo mwananchi amefungwa na mwenyechama.
Kwa lugha nyepesi,bila mwananchi kupitia kwenye chama hana kauli ya kuwa mbunge ,diwani hata Raisi.
Pale ndio hapo utumwa mamboleo unapotia fora.
 
Kwa hiyo mwananchi amefungwa na mwenyechama.
Kwa lugha nyepesi,bila mwananchi kupitia kwenye chama hana kauli ya kuwa mbunge ,diwani hata Raisi.
Pale ndio hapo utumwa mamboleo unapotia fora.
Kamati kuu ya chama ndo top. Uzuri wana ma investigators safi.
 
Uzi tayari
 
Mbona Nape umemuacha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…