Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Waloyafanya majimbo yao, Mungu mwenyewe ataingia kazini na kuwaondoa!Dk Limbu ameshauriwa safari hii achukue jimbo la Sumve, liko wazi baada ya Mh. Ndassa kufariki. Bila Limbu kwenda kusimama jimbo hilo kuna uwezekano mkubwa kwamba CCM wanaweza kulipoteza. Vijana wa jimbo hilo wote waoga kugombea, unless labda iwe kuna mtu ambaye mimi simfahamu!
[emoji23][emoji23][emoji23]hapiti,usicheze na mkuu wa nchi na pole2!Aliomba msamaha japo hakuwaomba wanaume wa jimbo lake baada ya kukanyaga matako ya wake zao.
Ila nape nayee!! Mwenye clip hyo ailete basi .
Nani ka kwambia kuwa kwa sasa kisanduku cha kura kinaamua mshindi wa uchaguzi? Bali ni nani anatakiwa,walau Demokrasia ili kuwepo 2015-kurudi nyuma. Ndio walau mlikuwa mkiweza kukomaa, sanduku la kura litatoa kura zilizomo!!Ludia kusoma habari kabla ya comment.
Nimesema ndani ya vyama vyao vya siasa au kisanduku cha KURA.
Au hangover za faru john mzee??
[emoji23][emoji23][emoji23]hapiti,usicheze na mkuu wa nchi na pole2!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kesi atapita🤣🤣🤣🤣 alikuwa anataka wahujum wa miradi wanyongwe!!Kessy yule wa Nkasi
Magu anateua hadi wagombea wa upinzani, hii kweli Tanzania mupya.Kuna kila sababu ya wabunge na watia nia hawa, kutopitishwa na vyama vyao vya siasa kugombea .
1. Wabunge wote wa CHADEMA sababu wameonesha kuwa siasa zao ni za kujinufaisha wao bila kujali wananchi! Hasa kipindi cha corona walisikika wakitaka nchi iwe lockdown.
2. Zitto - Kigoma Mjini
3. Raphael Chegeni - Busega
4. Ezekiel Maige - Msalala
5. Masele - Shinyanga Mjini
6. Mabula - Nyamagana
7. W. Ngeleja - Sengerema
8. Mathayo D. - Musoma
9. Dkt. Kamani - Mtia nia Busega
10. Dkt f. Limbu - Mtia nia Magu
11. Kiswaga - Magu
12. Eng Manyanya - Nyasa
13. J. Mhagama - Peramiho
14. Nchambi - Kishapu
15. ........ - Maswa
Unaweza kuongeza wakutoka au kutete wanaotakiwa kuondoka.
Kuna kila sababu ya wabunge na watia nia hawa, kutopitishwa na vyama vyao vya siasa kugombea .
1. Wabunge wote wa CHADEMA sababu wameonesha kuwa siasa zao ni za kujinufaisha wao bila kujali wananchi! Hasa kipindi cha corona walisikika wakitaka nchi iwe lockdown.
2. Zitto - Kigoma Mjini
3. Raphael Chegeni - Busega
4. Ezekiel Maige - Msalala
5. Masele - Shinyanga Mjini
6. Mabula - Nyamagana
7. W. Ngeleja - Sengerema
8. Mathayo D. - Musoma
9. Dkt. Kamani - Mtia nia Busega
10. Dkt f. Limbu - Mtia nia Magu
11. Kiswaga - Magu
12. Eng Manyanya - Nyasa
13. J. Mhagama - Peramiho
14. Nchambi - Kishapu
15. ........ - Maswa
16.David Mathayo Same MAGHARIBI-CCM
17.Enaghenjwa Kaboyoka Same Mashariki CHADEMA
Unaweza kuongeza wakutoka au kutete wanaotakiwa kuondoka.
Paragraph ya kwanza tu nikaudharau uzi wakoKuna kila sababu ya wabunge na watia nia hawa, kutopitishwa na vyama vyao vya siasa kugombea .
1. Wabunge wote wa CHADEMA sababu wameonesha kuwa siasa zao ni za kujinufaisha wao bila kujali wananchi! Hasa kipindi cha corona walisikika wakitaka nchi iwe lockdown.
2. Zitto - Kigoma Mjini
3. Raphael Chegeni - Busega
4. Ezekiel Maige - Msalala
5. Masele - Shinyanga Mjini
6. Mabula - Nyamagana
7. W. Ngeleja - Sengerema
8. Mathayo D. - Musoma
9. Dkt. Kamani - Mtia nia Busega
10. Dkt f. Limbu - Mtia nia Magu
11. Kiswaga - Magu
12. Eng Manyanya - Nyasa
13. J. Mhagama - Peramiho
14. Nchambi - Kishapu
15. ........ - Maswa
Unaweza kuongeza wakutoka au kutete wanaotakiwa kuondoka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mi narudi kujifunza kuandika! Ww rudi kujifunza kusoma[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
0-0
Kwa Dr. Limbu kwenda jimbo la sumve ni afadhari! Maana magu haweziwaambia kitu, yule jamaa mbinafsi sana, anakiburi cha uzima pia, ila watu wa sumve utawasikia tu watakavyolia km watampitisha.
16. Ole melya wajimbo la simanjiro
17. Mollel wa Jimbo la siha
18.shaly Raymond viti maalum ccm Kilimanjaro
19. Prof magembe Jimbo la mwanga kilimanjaro
20.Riziwani kikwete Jimbo la chalinze
21. Job ndugai Jimbo la kongwa
22. Mbunge Jimbo la nyangwale geita
23. Mbunge Jimbo la Arusha mjini CDM
24. Mbunge Jimbo la meru ccm
25. January makamba
26. Mbunge wa biharamulo
27. Mbunge wa Jimbo la Serengeti Mara
28. Jimbo la monduli arusha