gonamwitu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 2,187
- 2,794
Wajinga wawili wamekutana kushauriana ujinga.Uko sahihi, nadhani hata wao Simba wanajua hili. Iliwachukua Yanga 5 years kufika hapo kwa mateso na kilio. Ndio maana Simba pia kwakuwa wanajua walikuwa juu, lazima wafanye overhaul kurudi kule.