ACT Wazalendo
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 631
- 1,577
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majina hayasomeki😳Majina ya waliopitishwa kugombea ubunge act- wazalendo.View attachment 1539276
. Fungua linkMajina hayasomeki[emoji15]
Kusimamisha Wabunge 200 kwa tanzania nzima si hatua Mbaya kwa chama kipya kichanga kama ACT
Zittowakuu vp abdul nondo kapita???
Kapita yes,wakuu vp abdul nondo kapita???
ujue nakuheshimu mkuu!! did'nt expect this from you!!Kapita yes,
Kapita muda mfupi uliopita kuelekea kwao
Me too Mkuuujue nakuheshimu mkuu!! did'nt expect this from you!!
Ndo mshakosa muelekeo ivo wapinzani, ccm inashinda kiulaini kwa 7bu kura za upinzani mnazigawaWacha kila chama kisimame kivyake pengine tutajua nani zaidi ingawa haikupaswa kuwa hivi
"... haikupaswa kuwa hivi"Wacha kila chama kisimame kivyake pengine tutajua nani zaidi ingawa haikupaswa kuwa hivi
Wameogopa hujuma 2015 isijirudieCCM hata wakiachia majina yao sasa.
Mtu anakatwa,anatulia.
Mnasubiri huruma za act pambaneni na hali zenuWacha kila chama kisimame kivyake pengine tutajua nani zaidi ingawa haikupaswa kuwa hivi