Uchaguzi 2020 Orodha ya wagombea ubunge chama cha ACT Wazalendo

Rashidi Hamza Jumbe ni mwanasiasa jasiri na mvumilivu lisha ya kupata misukosuko ya polisi tangu akiwa Diwani kupitia CUF na kukosa umeya wa Tanga mjini kwa Ila za CCM kila LA heri ktk mbio zako za ubunge naamini utashinda kwa uthubutu wako wa kutetea watu wanyonge na wapinzani wako wote wanakujadili binafsi kuliko kazi zako Tangu ulivyokuwa diwani nafikiri ikichaguliwa utakuwa mwanasiasa machachari zaidi ulivyokuwa diwani
 
CCM hata wakiachia majina yao sasa.

Mtu anakatwa,anatulia.
 
Huko kilimanjaro kuna MTU anajina la kirusi full names mtupe mrejesho n mswahil mwenzetu au wale was kuomba uraia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…