Uchaguzi 2020 Orodha ya wagombea wa ubunge wa CHADEMA Tanzania Bara Oktoba 2020

Uchaguzi 2020 Orodha ya wagombea wa ubunge wa CHADEMA Tanzania Bara Oktoba 2020

Anapikwa kiaje? Angekuwa mgeni wa chama asingeweza kumshinda Mrema kwa kura zote zile. Acheni tabia za uCCM, onyesheni demokrasia ya kweli. Au mmemuonea kwa kuwa ni mdada?

Mimi sidhani kama Chadema wangeweza kumkata bila kushauriana nae. Inawezekana ni mkakati wao wa kupata wabunge wawili kutoka Segerea.

Amandla...
 
Wameshasema hayo majina ni awamu ya kwanza, hayo uliyoandika yanaonesha hauna correct information.
Uteuzi wa gombea ubunge/udiwani huwa haufanyiki namna hiyo; kwa awamu. Jibidishe kusikiliza wataalam kwenye maeneo husika siyo wanasiasa.
 
Uteuzi wa gombea ubunge/udiwani huwa haufanyiki namna hiyo; kwa awamu. Jibidishe kusikiliza wataalam kwenye maeneo husika siyo wanasiasa.
Kuna majimbo mengine hawajayatangaza ilihali yana wagombea waliopita kura za maoni.

Huenda pia wanaangalia upepo umekaaje na kusort out yenye migogoro.
 
Kyerwa? Na anatropia theonest naye kapelekwa wapi? Au umechabga mafile?
Anatropia alikuwa mbunge wa viti maalum jimbo la segerea na safari hii amegombea huko kyerwa na kashinda mwenye kura za maoni.
Nahisi hamfatilii chama, bali mnafatilia ushabiki tu

Huyo kweli afuatili uko sahihi kabisa
 
Hizi porojo hazitakiwa hapo kubalini viongozi wamekosea, nahii inavunja moyo wanachama, kiukweli mmemkosea huyu dada nahamjamtendea haki kabisa, 2015 Mrema aligombea Moshi huko ingawa sikumbuki jina lajimbo kwa nini asingerudi huko?.
Watu na nyie mmezidi umbeya, sasa mtu mwenyewe hajalalamika nyie ndio mje kumlalamikia.!

Hata Messi hawezi kucheza siku zote na timu bado inashinda, hamuwezi kujua watu wana mkakati gani.
 
Watu na nyie mmezidi umbeya, sasa mtu mwenyewe hajalalamika nyie ndio mje kumlalamikia.!

Hata Messi hawezi kucheza siku zote na timu bado inashinda, hamuwezi kujua watu wana mkakati gani.
Kwahio aligombea kura za maoni, ili ampishe Mrema?. Mbona unakuwa na akili ndogo mkuu, unajuaje kama hajalalamika?. Hizi tabia zakufumbia ujinga kisa unafanywa nawachama chetu hautakiwi, ccm wakimrudisha Makonda mtaanza kupiga kelele kuwa ccm wanampendelea huku nanyie mnafanya utopolo kama huo.
 
Back
Top Bottom