Orodha ya Walimu na Mafundi Sanifu Maabara Ajira Mpya

Mimi niliomba Mwanza, Geita na Morogoro nikitumia anwani ya Geita bt nimepangwa Mtwara
 
J4 Sagin amesoma gaya maoni na maombi yako. Kasema atayafanyia kazi mkuu
 
ww acha kulialia hpa.. tamisemi wanajua wanachofanya.. so kuwapangia watu tofauti na maeneo waliyoomba n kuondoa ile dhana ya preference ambayo watu tunayo.. hv unafikiri kila mtu angepangiwa alikoomba s shule zngine zngekosa walimu... ulishasmbiwa mjini pamejaa mpaka kna walimu wa ziada... kwann tunashindwa kukubali hali halisi ilivo... tamisemi wamefanya hvyo kwa manufaa ya taifa na co matakwa ya mealimu mmoja mmoja.
 
Kuwa mwelewa, km tamisemi wanatumia dhana hiyo basi hakuna haja ya kuwa tunajaza mikoa ya kufanyia kazi. Na kumbuka tulikuwa tunajaza mikoa na siyo shule. Mikoa yenyewe ni mitatu.

Ni kweli walidai kipaumbele ni shule za vijijini lakini tamisemi watabaki kuwa wababaishaji tu. Labda kwa mtu aliyechagua option ya mkoa mmoja tu kwa nafasi zote tatu ndiye anaweza akapelekwa mkoa mwingine ambao hakujaza. Lakini kwa mtu aliyejaza mikoa mitatu tofauti watashindwaje kumpeleka mojawapo ya mkoa alioomba?

Kitu kingine kinachodhihirisha kwamba hawa tamisemi wanapanga watu kijinga bila kuzingatia waliomba wapi ni kwamba;
Inakuwaje wamchukue mtu toka Kigoma wampeleke Lindi wakati hakuomba kupangwa Lindi na wakamwacha mtu wa Lindi aliyeomba kupangwa Lindi wakati kama ni kigezo cha masomo wote wamesoma masomo hayo hayo?
 
Tangazo la ajira mpya ya walimu lilitolewa na tamisemi April 27 liliambatana na ajira mpya kwa mafundi sanifu maabara.Cha kushangaza mbona majina ya hao mafundi sanifu hayaonekani??? Naomba msaada kwa anayefaham lolote kuhusu hilo.
 
jaman mbona majina ya mafundi sanifu Wa maabara hayapo...???wakati kwenye tangazo lao imeonyesha yapo na majina ya mafundi sanifu Wa maabara
 
Tangazo la ajira mpya ya walimu lilitolewa na tamisemi April 27 liliambatana na ajira mpya kwa mafundi sanifu maabara.Cha kushangaza mbona majina ya hao mafundi sanifu hayaonekani??? Naomba msaada kwa anayefaham lolote kuhusu hilo.

Jamani tatizo ni nini? majina ya mafundi sanifu hayajawekwa?

yeyote mwenye taarifa atujuze tafadhali...
 
hivi kuna majina baadhi yameachwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…