Orodha ya Walimu na Mafundi Sanifu Maabara Ajira Mpya

wana JF anayepajua Dodoma-Kongwe DC-shule ninayoenda ni Mang'hweta sec anajuze mazingira ya huko kama koroboi ni nunue
 
msaada kwa aliyepata pdf nzima ya arts (pg 292-305) na pdf au link ya waliokuwa na supp pamoja na waliomaliza miaka ya nyuma
 
wana JF anayepajua Dodoma-Kongwe DC-shule ninayoenda ni Mang'hweta sec anajuze mazingira ya huko kama koroboi ni nunue

aiseeee hapo magweta napafaham kipindi nasoma mpwapwa ttc na nikimaliza 2010 kwa kipindi hicho koloboi lazima ila kuna huu npango wa REA nafikir pana umeme sina uhakika..nunua kwa tahadhari ila niwilaya yenye ukame sana
 
vp kuna umbal gan toka kongwe town na unaweza ukakaa kongwe ukapiga kazi uko
 
Wilaya ya itilima pakoje? Mdogo wangu kapangiwa huko
 
Msaada plz simu yangu hainauwezo wa kufungua pdf naomba majina ya walimu wa arts na biashara. Plz
 
Back
Top Bottom