Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wana JF anayepajua Dodoma-Kongwe DC-shule ninayoenda ni Mang'hweta sec anajuze mazingira ya huko kama koroboi ni nunue
wewe umepangiwa hadi shule?
enhee napiga maths/ICT tumepangiwa na shule
kuna aliyeniambia kuwa page zipo 305 ila zilizofunguka ni page 291,kwa hiyo subiri page zote zifunguke,upo mkuu.
ok nimekusoma! Ila jina la shule uliyopangiwa mimi najing'ata ulimi.
Nimefika hadi Z hakuna
kweli mkuu,hakunaa,nami nimethibitisha.
msaada kwa aliyepata pdf nzima ya arts (pg 292-305) na pdf au link ya waliokuwa na supp pamoja na waliomaliza miaka ya nyuma
wana JF anayepajua Dodoma-Kongwe DC-shule ninayoenda ni Mang'hweta sec anajuze mazingira ya huko kama koroboi ni nunue
hata mwenywe naanza chukua mazoezi maana duuu!!
aiseeee hapo magweta napafaham kipindi nasoma mpwapwa ttc na nikimaliza 2010 kwa kipindi hicho koloboi lazima ila kuna huu npango wa REA nafikir pana umeme sina uhakika..nunua kwa tahadhari ila niwilaya yenye ukame sana
Mang'weta ni mbali na Kongwa ila kuhusu suala la umeme upo ushafikavp kuna umbal gan toka kongwe town na unaweza ukakaa kongwe ukapiga kazi uko
xamahanin wana jf humu ndan naomba mniangalizie majina ya wa2 hawa wawili kwa ngaz certificate mniambie wamepangiwa v2o gan, YACOB G.LYANGA na JOSEPHAT LUCAS MANGU
Mang'weta ni mbali na Kongwa ila kuhusu suala la umeme upo ushafika