Orodha ya Walimu na Mafundi Sanifu Maabara Ajira Mpya

Orodha ya Walimu na Mafundi Sanifu Maabara Ajira Mpya

majina yote yapo sayansi na arts. kwenye tangazo
mpaka mafundi sanifu maabara wapo.ingawa idadi
imepungua ila wote arts,sayansi,labo technians
ajira zipo.
ninachogundua ni kwamba web yao inUPDate
kimokimoja.
ilianza na s/m wakaja sayansi na sasa arts na
biashara tayari.maabara bado.
mimi nmeshadownload cheti na sayansi.nashindwa
kutuma hapa.
kama uko interested nitumie namba yako whatsap
0767791405 nikutumie pdf au nikuangalizie jina.
NOTE;: Nina chet na sayansi tu mpaka sasa.
HONGERENI AMBAO MMEPATA AJIRA KACHAPEN
KAZI
 
kweli Tanzania waalimu wametosha.
Bofya hapa ujionee.
Kijana majina hayo ni kwa ajili ya walimu wa sayansi na hisabati tu, arts kuna placement yao pia ambapo hutakuta majina ya watu sayansi hata heading husomi?
 
Jamani tunaona kweli majina yamewekwa ila mtandao haukubali bado tuko roho juu. Kama kuna aliyewahi kuyapata majina ya sanaa na biashara atoe msaada jamani tuyapate humu JF.
 
Mkuu kweli hizo mbili nimeziona yaani cheti na science ila ile ya sanaa na biashara haionekani mkuu. kama unayo tusaidie kama ulivyoweka hizi mbili.
 
ajira za walimu kutolewa kwa walimu wa masomo ya sayansi na hisabati.
 

Attachments

  • IMG-20150427-WA0002.jpg
    IMG-20150427-WA0002.jpg
    54.3 KB · Views: 505
Mkuu kweli hizo mbili nimeziona yaani cheti na science ila ile ya sanaa na biashara haionekani mkuu. kama unayo tusaidie kama ulivyoweka hizi mbili.
Mzee Gwanda najaribu access toka tovuti ya Wizara lakini naona haliko accessible kwa sasa....nikifanikiwa nitaliweka hapa

Thanks
 
Last edited by a moderator:
La watu wa sanaa hlipo na kule tamisemi linasumbua wewe umeweka la watu wa sayansi na cheti tu
 
nilichoelewa ni kwamba kuna walimu wamehitimu mafunzo mwaka 2013/2014 nao wamo kwenye hizi ajira sambamba na walimu wa masomo ya sayansi na hisabati wa miaka ya nyuma nao wameajiliwa, hakuna utata hapo pia zingatieni idadi iliyowekwa!
 
Back
Top Bottom