Membe awe waziri mkuu kupitia mlango upi wakati hana jimbo!! Jimbo la Mtama amepewa Nape!!!Membe alisema kuwa akiwa rais waliokuwa wanamkosoa (akina Pasco, Ulimwengu, Jf members, etc) itabidi wakimbie nchi (wakimbilie Kenya) kwa bahati yao hajawa rais (labda wataondoka Membe akiwa Waziri Mkuu).
Sasa kuna hawa waliokuwa wanamkosoa Magufuli na wengi wao wako serikalini hatma zao zikoje kwenye zama hizi ambazo tuna watawala waliojaaa siasa za visasi hata kwa wapiga domo mitaani?
Makufuli hawezi kuwa raisi wa nchi hii na haita tokea.
Bado siku chache upopo wa kisiasa utabadidilika na dira thabiti ya nani anaenda kuwa raisi wa hii nchi ya Kambarage atakuwa wazi
Mark my ward
Magufuri ni mzuri ila maamuzi yake yataumiza wengi ingawa tutapata maendeleo
Imekuwa ni kawaida kwa Chama hiki kusema hivyo, hata Bunge la Katiba walisema hivyo, kupitisha Sheria mbalimbali Bungeni husema hivyo hata kama kuna utofauti,
Swali langu, Je ni kweli Magufuli ni wa CCM wote?
Mkuu amepata 87.% ya kura za wajumbe wa mkutano mkuu zilizopigwa, na CCM wana Historia ya Kuungana, usitegemee tofauti ya hiyo, Ndiyo maana Malecela (Mzee) aliwaambia Hakuna mtu maarufu kuliko chama , Chama kwanza.Imekuwa ni kawaida kwa Chama hiki kusema hivyo, hata Bunge la Katiba walisema hivyo, kupitisha Sheria mbalimbali Bungeni husema hivyo hata kama kuna utofauti,
Swali langu, Je ni kweli Magufuli ni wa CCM wote?
Imekuwa ni kawaida kwa Chama hiki kusema hivyo, hata Bunge la Katiba walisema hivyo, kupitisha Sheria mbalimbali Bungeni husema hivyo hata kama kuna utofauti,
Swali langu, Je ni kweli Magufuli ni wa CCM wote?
Kama hujui kusoma basi tega masikio mkuu
Lowasa jembe
Sasa wewe hutaki maendeleo? Wakiumia wakina prince na wauza unga wenzie wewe utakosa nini?
ur in a deep slee amka! magufuli ndie rais
Na Mimi Nakuuliza, Hivi Mkeo au Mumeo Katika Macho Ya Wengine Akina Sisi Wanaonekana Kuwa Na Mvuto? Magufuli Siyo Wa CCM Wote Tu Bali Ni Wa Watanzania Wote Na Akinihitaji Nitampigia Kampeni Nchi Nzima Na Kwa Ushawishi Wangu Mkubwa Nilionao Na Niliobarikiwa Nao Na Mwenyezi Mungu ATASHINDA Na KUFANIKIWA Tu. Ewe Mheshimiwa Rais Mtarajiwa Wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli Kaza Kaza Kaza Na Hakuna Wa Kukutisha Huko Mbele Na Najua Yatasemwa Mengi Mabaya Juu Yako ILA Yapuuze Na Angalia Jinsi Ya Kutuongoza Watanzania Kwa Mafanikio Zaidi Ya Pale Mtangulizi Wako Rais Jakaya Mrisho Kikwete Alipoishia Na Endapo UTATAKA Ushirikiano Wangu Wowote Mimi Mathematician Gentamycine TAFADHALI Nitafute Na Kama Na Wewe Huwa Unakuwepo Humu JF Basi Karibu Katika PM Kule Tufanye Mambo Zaidi. Gentamycine Akipenda Mtu au Akikipenda Kitu Basi Ujue Hata Roho Mtakatifu, Malaika Wa Mbinguni Na Mwenyezi Mungu Mwenyewe AMEKIPITISHA Pia. Magufuli Songa Mbele Na ASIKUTISHE Kinshakupe Yoyote Kwani Tumeshawazoea Hao Na Wengi Wao Ni Wale Wale TEAM NIMEKATWA, NAUGULIA Na NINA HASIRA Kwani Sidhani Kama Ni UKAWA Kutokana Na Kwamba Hata UKAWA Wenyewe WAMESHAMKUBALI Jembe Dr. John Pombe Magufuli Na Wameazimia Wote Kumpigia Kura.
Mkuu hiki usemacho no wachache watakao kuelewa. Wengi wanadanganyika na burudani zile za Tot na vijembe vyao. Ila wanaomjua Magufuli wameshaona hauwezi ushindani wa urais kwani hajiamini. Nikisema hajiamini watu watashangaa na kuona kuwa Magufuli anajiamini sana.Makufuli hawezi kuwa raisi wa nchi hii na haita tokea.
Bado siku chache upopo wa kisiasa utabadidilika na dira thabiti ya nani anaenda kuwa raisi wa hii nchi ya Kambarage atakuwa wazi
Mark my ward
alikuwa anaonekana mzuri sana kwa kuwa alikuwa chini ya watu wa2 na hasa kocha wake mkubwa pinda sasa now yeye ndio KInG .ataweza kuendeleza yale maamuzi yake ambayo some times hayana hata chembe ya busara??.
asiye kuwa na 200 ya kulipia kivukio kigamboni na apige mbizi.