Orodha ya waliojaribu kumkwamisha 'chuma' Magufuli na wakaangukia pua!

Orodha ya waliojaribu kumkwamisha 'chuma' Magufuli na wakaangukia pua!

1-Zitto
2-lissu
3-Mbowe
4-Msigwa
5-Lema
6-Membe
7-Nape
8-Kinana
9-Makamba Jr na Sr
10-Abdul nondo
11-Mdude Chadema
12-Shangazi
13-Maria Sarungi
14-Mwele Malecela
15-Kigogo 2014 akaamua azushe kabisa
n.k
Bila kumsahau Mange Kimambi yaani huyu ndio aliangukia pua na mdomo.

Kama una ubavu jiunge na wewe uangukie pua
Nimeona namba 15 kigogo2014. ni bado alizusha?[emoji45]
 
1-Zitto
2-lissu
3-Mbowe
4-Msigwa
5-Lema
6-Membe
7-Nape
8-Kinana
9-Makamba Jr na Sr
10-Abdul nondo
11-Mdude Chadema
12-Shangazi
13-Maria Sarungi
14-Mwele Malecela
15-Kigogo 2014 akaamua azushe kabisa
n.k
Bila kumsahau Mange Kimambi yaani huyu ndio aliangukia pua na mdomo.

Kama una ubavu jiunge na wewe uangukie pua
Ukiona hawampendi jua aliwashughulikia kweri kweri!!!
 
1-Zitto
2-lissu
3-Mbowe
4-Msigwa
5-Lema
6-Membe
7-Nape
8-Kinana
9-Makamba Jr na Sr
10-Abdul nondo
11-Mdude Chadema
12-Shangazi
13-Maria Sarungi
14-Mwele Malecela
15-Kigogo 2014 akaamua azushe kabisa
n.k
Bila kumsahau Mange Kimambi yaani huyu ndio aliangukia pua na mdomo.

Kama una ubavu jiunge na wewe uangukie pua
Napinga; kwanza hana sifa ya kuitwa chuma. Chuma huwa ni kigumu, hata risasi haipenyi. Magufuli labda alikuwa NYANYA. Maana nyanya kidogo tu zimeoza.

Angalia wote hao uliowataja wako ngangari Ila yeye COVID19 kidogo tu chali.

Kiukweli wote tulio hai ambao Magufuli alimtishia maisha yetu au kwa kuvunja nyumba za Kimara, au kwa vyeti feki, au kwa kutotoa nyongeza ya mshahara tuna kila sababu ya kupiga kufua mara 3 na kusema SISI SIYO WA MCHEZO MCHEZO
 
Bora kafa kabla hajadungwa mafuta ya aborted babies na nano chip[emoji16][emoji16]

Wewe na mimi tujiandae kuwa Artificial humans/artificial intelligence
Dunia ni hadaa, ulimwengu ni shujaa.
Kivyovyote vile, kaondoka na katuachia TZ yetu tukiwa salama salmini.
 
Mage Kimange
Lau Masha
Mange kimambi alifanya mzee dictator mzoga aingie amechutama kwenye gari siku ya muungano pale dodoma. Aliwafanya wanajeshi wafyeke majani kwa gwaride pale lugalo. Hahah usichezee nguvu ya umma.
Unayakumbuka maandamano ya mange? Muulize muloto
 
1-Zitto
2-lissu
3-Mbowe
4-Msigwa
5-Lema
6-Membe
7-Nape
8-Kinana
9-Makamba Jr na Sr
10-Abdul nondo
11-Mdude Chadema
12-Shangazi
13-Maria Sarungi
14-Mwele Malecela
15-Kigogo 2014 akaamua azushe kabisa
n.k
Bila kumsahau Mange Kimambi yaani huyu ndio aliangukia pua na mdomo.

Kama una ubavu jiunge na wewe uangukie pua
Na yeye dhalim kaangukia nini?
 
1-Zitto
2-lissu
3-Mbowe
4-Msigwa
5-Lema
6-Membe
7-Nape
8-Kinana
9-Makamba Jr na Sr
10-Abdul nondo
11-Mdude Chadema
12-Shangazi
13-Maria Sarungi
14-Mwele Malecela
15-Kigogo 2014 akaamua azushe kabisa
n.k
Bila kumsahau Mange Kimambi yaani huyu ndio aliangukia pua na mdomo.

Kama una ubavu jiunge na wewe uangukie pua
I stopped trusting people after learning that pastors also have invigilators during their theology exams🙆😁😁
 
1-Zitto
2-lissu
3-Mbowe
4-Msigwa
5-Lema
6-Membe
7-Nape
8-Kinana
9-Makamba Jr na Sr
10-Abdul nondo
11-Mdude Chadema
12-Shangazi
13-Maria Sarungi
14-Mwele Malecela
15-Kigogo 2014 akaamua azushe kabisa
n.k
Bila kumsahau Mange Kimambi yaani huyu ndio aliangukia pua na mdomo.

Kama una ubavu jiunge na wewe uangukie pua
Chuma chenyewe kikatumbukia kaburini kabisaaaa....kikaacha waliovunjika pua! Such is life..
 
1-Zitto
2-lissu
3-Mbowe
4-Msigwa
5-Lema
6-Membe
7-Nape
8-Kinana
9-Makamba Jr na Sr
10-Abdul nondo
11-Mdude Chadema
12-Shangazi
13-Maria Sarungi
14-Mwele Malecela
15-Kigogo 2014 akaamua azushe kabisa
n.k
Bila kumsahau Mange Kimambi yaani huyu ndio aliangukia pua na mdomo.

Kama una ubavu jiunge na wewe uangukie pua
JPM yupo ndani ya mahali pa kupumzishwa milele kwa miezi zaidi ya saba. Kazi iendelee.
 
Back
Top Bottom