Orodha ya waliojaribu kumkwamisha 'chuma' Magufuli na wakaangukia pua!

Orodha ya waliojaribu kumkwamisha 'chuma' Magufuli na wakaangukia pua!

kikwenga alikua anashirikiana na yule babu wa Tiss aliyetumbuliwa hapo kwa nondo nimecheka sana katoto kale hata connection hakana wakaka fix asubui

Yule dogo alikutwa na chupi ya blue pale msituni
 
1-Zitto
2-lissu
3-Mbowe
4-Msigwa
5-Lema
6-Membe
7-Nape
8-Kinana
9-Makamba Jr na Sr
10-Abdul nondo
11-Mdude Chadema
12-Shangazi
13-Maria Sarungi
14-Mwele Malecela
15-Kigogo 2014 akaamua azushe kabisa
n.k

Kama una ubavu jiunge na wewe uangukie pua
USA imejiandaa kumkwamisha 2020,Tuone Kama itaangukia pua
 
1-Zitto
2-lissu
3-Mbowe
4-Msigwa
5-Lema
6-Membe
7-Nape
8-Kinana
9-Makamba Jr na Sr
10-Abdul nondo
11-Mdude Chadema
12-Shangazi
13-Maria Sarungi
14-Mwele Malecela
15-Kigogo 2014 akaamua azushe kabisa
n.k

Kama una ubavu jiunge na wewe uangukie pua
Mama mzazi wa jinga letu simuoni
 
yaan hawa wanamkwamisha kuliko waliotubu!! na wale wengine ndan ya kambi wanaomsema mtukufu mshamba??? hebu njoo ongea vizur
 
Ni kweli mtupu ni vibaraka wa moja kwa moja au si moja kwa moja lkn hao wote hawaritakii taifa letu mema.
 
Sredi za mende hizi zikitafuta info
 
1-Zitto
2-lissu
3-Mbowe
4-Msigwa
5-Lema
6-Membe
7-Nape
8-Kinana
9-Makamba Jr na Sr
10-Abdul nondo
11-Mdude Chadema
12-Shangazi
13-Maria Sarungi
14-Mwele Malecela
15-Kigogo 2014 akaamua azushe kabisa
n.k
Bila kumsahau Mange Kimambi yaani huyu ndio aliangukia pua na mdomo.

Kama una ubavu jiunge na wewe uangukie pua
HAKUNA CHUMA NI DIKITEITA
 
Bila kusahau kikokotoo kiliangukia pua tukakitupa kulee sasa tutapata
Acha jembe liendelee kuparua
 
Back
Top Bottom